DONNGO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 369
- 120
umezoea magoli ya mkono sana wewe
unadhani kwenu tu ndo kuna tv? hakuongea hvyo
#tunawafunga la kichwa
Dada leo unawanyosha magamba
umezoea magoli ya mkono sana wewe
unadhani kwenu tu ndo kuna tv? hakuongea hvyo
#tunawafunga la kichwa
Lowasa amesema kila mtanzania atakua kama Bakhresa au Mengi.
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
waongo na wazushi kama hawa, mods futilia mbali. jf yote tuungane kupambana na ccm, hi ndiyo imelazimisha hadi sheria inayotunyma uhuru wanajf ipitishwe kwa mizengwe, anayeichekea hii sheria na ccm afukuzwe tu jf.
Nyani NgabuMkuu. We ni Nyani Ngabu kweli au una bifu na Nyani Ngabu? Naona tangu juzi umekazana kweli na comment hii hii. Samahani kama nimekukwaza lakini nauliza kwani naona umejifunga kibwebwe kuhakikisha watu wanafahamu kuwa Nyani Ngabu ndiye Richard Mugizi. Kuna ulazima wa kufanya hivyo?
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
NONSENSE kabisa hii. Wapuuzi kama hawa sijui wanatoka wapi
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Acha uongo boya wewe
Hata mimi Richard Mugizi aka Nyani Ngabu nawachukia maskini...oooops.....nauchukia umaskini.
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.
Tutafakari pamoja kauli hii
Mwenye clip aiweke tusibishane!
Mkuu. We ni Nyani Ngabu kweli au una bifu na Nyani Ngabu? Naona tangu juzi umekazana kweli na comment hii hii. Samahani kama nimekukwaza lakini nauliza kwani naona umejifunga kibwebwe kuhakikisha watu wanafahamu kuwa Nyani Ngabu ndiye Richard Mugizi. Kuna ulazima wa kufanya hivyo?