Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Nitafurahi sana nikisikia Lowasa amechukua maamuzi magumu ya kujiua

Mkuu siasa sio chuki hizo ,,alikuchukulia mke au? Maana sio bure kama kumshinda umeshamshinda sasa unataka afe dahh...haya kamuue .Ila mpotezee umeshamshinda endelea kunadi mgombea Lowasa is nothing now
 
Mkuu Naona Umeirudia Hii Comment Ktk Thread Karibu Kumi, Huna Mtazamo Mwingine?

Huyu deree kweli.. Kila nikifungua different threads lazima nikutane na hii comment. Yani team lowasa ni pasua vichwa!
 

TEAM LOWASA vichwa vinawaka moto sasa hivi! Mara ya kumi nakutatana na hii comment in different threads.
 
Wakina nchimbi walijitoa mhanga kweli siasa inabidi usome mchezo mapema ukiona jambazi ana bunduki we una rungu tupa rungu ukimbie au ujiunge na jambazi umsaidie kupakia alichoiba
 
Mkulu hakumtendea haki EL kwa 2005 walimpigia debe sana lakini mkulu kasahau fadhila.
 
Kama wangekuwa na mpango wa kuhama, wangetakiwa wote kwa ujumla wampe kura Balozi Amina then akiwa mgombea Urais wa CCM wao ndo wanahamia kule ACT au UKAWA iwe rahisi kumshinda, kwa magufuli watachemka japo siamini kama watahama

Unafikiri hawakumpa?
JK aliistukia hiyo muvi ndo maana zile kura akaamua zihesabiwe usiku na wachache ili waweke mambo sawa.

Ndiyo maana hata kwenye ugombea mwenza yule balozi wamemtosa!
 
Si anakuja ACT... watu tunamtaka Lowassa tu... tushaamua, wenyewe WAMEMKATA, SASA NA YEYE anawakata... subirieni dawa iwaingie...
 

Nimekuelewa sana mkuu,,, nimeupenda ujumbe wako
 
Unafikiri hawakumpa?
JK aliistukia hiyo muvi ndo maana zile kura akaamua zihesabiwe usiku na wachache ili waweke mambo sawa.

Ndiyo maana hata kwenye ugombea mwenza yule balozi wamemtosa!
inawezekana ni goli LA mkono
 

Haa ha ha

Sie sote ni binadamu,tunapaswa tumtie moyo kuwa yote maisha.Ata haya yatapita.
 
Lowassa njooo ACT... sisi watu wako tushatangulia...na kadi leo nimekosa ya ACT... nimeambiwa hadi kesho mapema niwahi, yaani kadi za ACT zimekuwa kama dhahabu baada ya wafuasi wa Lowassa kujua anaenda ACT
 
Kwani na huyo mvuta bange mwingine alipenya?

Membe zaidi ya mara moja kasema anaweza kushindwa na akishindwa atawaunga mkono wengine.

Lowassa neno kushindwa halikuwepo kwenye misamiati yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…