Kwa wale wanaofikiri ngoma imeisha CCM huenda wakawa wanajidanganya na huenda kibaruakigumu ndio kimeanza rasmi kwa ccm
Imeelezwa kuwa lowasa na timu yake wametoweka dodoma tangu jana usiku na haijulikani ni mkakati gani unafata inaelezwa kuwa wazee walimsihi asiondoke lakini aligoma.
Lowassa akikumbuka jana alivyowekwa pale mbele tena pembeni kama kandege kenye kiu na bado wakawa wanamshukuru (M'kiti ana dharau sana), unategemea na leo aje tena wamuweke pale mbele kama kandege kamekosa mchele!!!!! asingeweza na nasikia tayari yupo jimboni kwake..
Lowassa yupo imara na ataendeleza harakati zake za kutoa pesa kwenye harambee na bodaboda, kama ishara njema na kujitokeza kwenye matukio yote ya misiba na kuhakikisha tunapata picha zake live kupitia taarifa ya habari kwenye TV zetu. Mungu akubariki sana EL kuwa na moyo mkuu.
Kama wangekuwa na mpango wa kuhama, wangetakiwa wote kwa ujumla wampe kura Balozi Amina then akiwa mgombea Urais wa CCM wao ndo wanahamia kule ACT au UKAWA iwe rahisi kumshinda, kwa magufuli watachemka japo siamini kama watahama