Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Tenths

Senior Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
111
Reaction score
45
Hivi Lowasa leo alikuwepo kwenye mkutano mkuu wa kumtangaza rais mtarajiwa?
 
Hivi Lowasa leo alikuwepo kwenye mkutano mkuu wa kumtangaza rais mtarajiwa?

Yupo Hospitalini Anamaliza Kutundikiwa Dripu Ya Mwisho Ya 13. Mvumilie Kidogo Na Unaweza Kugongana Nae Baadae Hapo NAM/GASPER Hotel.
 
Nipo nacheki kipindi maalum cha CCM,wakiwa kwenye mkutano wao mkuu Dodoma,wakitangaza namna Washindani wa kiti cha Urais kupitia CCM walivyoshinda,lkn Nashangaa Mh.E.N.Lowasa simuoni,sijui amekwenda wapi??.
 
sijamuona. sijui atakuwa ameenda wapi, jana usiku alikuwepo lakini leo hajakuwepo. labda yupo anapanga mipango yake ya maangamizi. tusubiri tuone wiki hii ikiisha bila surprise tujue amesalenda.
 
Nipo nacheki kipindi maalum cha CCM,wakiwa kwenye mkutano wao mkuu Dodoma,wakitangaza namna Washindani wa kiti cha Urais kupitia CCM walivyoshinda,lkn Nashangaa Mh.E.N.Lowasa simuoni,sijui amekwenda wapi??.

Awepo Hapo Kasahau Nini Tena Mkuu? Watu Mna UTANI Mbaya Humu JF! Anawaza Jinsi Ya Kuzirudisha Hela / Pesa Alizokopeshwa Na Ma Don.
 
Kimbisa na sophia wamekuja mkutanoni..kaka nchimbi kagoma nafikiri yuko na kingunge wanatafakari wanarudi vipi kundini...
 
...atakuwa anajaza form za act...
 
Mzee Lowassa hayupo sawa na ambavyo Mkapa na Sumaye na Warioba hawapo.
 
Hawa watu sijui kwanini hawakutaka kuhudhullia mkutano mkuu wakati ni watu muhimu sana kwenye chama
 
Jakaya kwenye Mkutano huu amefanya kazi ya Kizalendo sana kwa kweli Sikuitegemea hasa ya kuzuia yaliyoitwa Mafuriko, hii ndo kujivua Gamba bila ya kufukuzana wala kupigana. Asante sana Jasusi na Kachero wa Siasa za kibongo bongo
 
Back
Top Bottom