meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
- Thread starter
-
- #21
angali msimamo wangu kuanzia fisadi ahamie chadema utanielewa!Haha [emoji23][emoji23] mleta mada vepe mtazamo wako kwa sasa naona mlikubali kukaa meza moja na mafisadi !!!
[emoji23][emoji1][emoji1]
More than cryptococcal meningitisha ha ha ha....meninjitis!!!
Mkuu Idawa tulikuwa kundi moja a.k.a Team Slaa they made us now we make them!Ya lini hii
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
mkuu nakushukuru kwa kufukua kaburi hili...I said but they did not listen!muda ni mali
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kid boy I hope you get my point now!Niwez ila wakiokoka Tuna wapokea chadema.
Mkuu bado tupo na tuna msimamo ulelule wa kuupinga ufisadi katika mavazi yake yote!
Insta kivipi?We utakuwa Lusinde wewe yaani unatuletea mambo instagram huku.? Zero brain.
Huyo mmoja si alishindwa au alibwagwa na mama mmoja kwenye ujembe wa NEC tena nyumbani kwao je hajitambui kwamba ni spent force?Lowassa na Sumaye hawana jipya, ni waigizaji tu hawawezi kuwa marais wasahau.
rudisheni bilion 10 za lowassa vita ya kuuza chama haijawahi kumuacha mbowe salamaThread zingine ukizisoma unabaki kucheka!
Kinachoshangaza zaidi, majina ya waliotoa comment pamoja na mleta thread kwa sasa yamepotea hapa Jamiiforums! Wamezaliwa upya na ID mpya!
Mkuu,Mkuu bado tupo na tuna msimamo ulelule wa kuupinga ufisadi katika mavazi yake yote!
Viongozi na waasisi ndio mpango mzima!wanachama na wafuasi ndio mpango mzima
Siasa za uongo na ghiliba hazitakiwi....Kuongoza nchi hakuhitaji usanii.Mkuu,
Ninashukuru upo na unaendelea na msimamo wako!
Ninadhani kwa sasa umekuwa mwanaCHADEMA mfu au umeachana na CHADEMA!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wamekimbia ID zao kwa aibuThread zingine ukizisoma unabaki kucheka!
Kinachoshangaza zaidi, majina ya waliotoa comment pamoja na mleta thread kwa sasa yamepotea hapa Jamiiforums! Wamezaliwa upya na ID mpya!