Imran K
Member
- Apr 11, 2015
- 43
- 46
Wote hapo hakuna anayefaa
Wote hapo hakuna anayefaa
Anatamani u-first lady kuliko msiba.Huyu Faraja Nyalandu siyo amefiwa na baba yake? Alitakiwa kuwa kwenye msiba huko Mbezi beach
Anayefaa ni yule aliyeenda kusali kwenye kaburi la Nyerere? Manake ni bora hata Kibajaji kuliko huyo jamaa aliyeenda kusali kwenye kaburi la mwalimuWote hapo hakuna anayefaa
Ila Kigwangala ndo atosha si ndiyo???Wote hapo hakuna anayefaa