Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,920
Anatamani u-first lady kuliko msiba.
Anatamani u-first lady kuliko msiba.
Baba yake ,Mama yake walishafariki dunia miaka mingi iliyipota,Faraja Nyalandu ni Yatima kipindi kirefu tuHuyu Faraja Nyalandu siyo amefiwa na baba yake? Alitakiwa kuwa kwenye msiba huko Mbezi beach
Baba yake ,Mama yake walishafariki dunia miaka mingi iliyipota,Faraja Nyalandu ni Yatima kipindi kirefu tu
Lowassa hatoweza kupitishwa na kamat kuu ya maadili
Ndo maana yake,yatima ni mtoto yeyote ambae hana wazazi,kumbuka mtoto hakuwi kamwe kwa wazazi wake,hapo upo?hata ukuwe vipi kamwe utabaki mtoto kwa wazazi wako.Hivi unaijuwa tafsiri ya Yatima? Basi kama ni hivyo hata Baba yangu anayekaribia miaka 70 naye ni Yatima maana wazazi wake walifariki siku nyingi tu.
Nyalando amelelewa kimaadili na hawezi tukana waliomzidi umri,ila mambo ya michepuko ndo sijajua imekaaje hiyo
Ndo maana yake,yatima ni mtoto yeyote ambae hana wazazi,kumbuka mtoto hakuwi kamwe kwa wazazi wake,hapo upo?hata ukuwe vipi kamwe utabaki mtoto kwa wazazi wako.