Dongo La Kiemba JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 1,830 Reaction score 1,266 Jun 8, 2015 #41 Vibaka ni vibaka tu, hata akiwa na mkewe.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,392 Reaction score 9,235 Jun 8, 2015 #42 Mi nasubiri mwisho wa hizi sarakasi nani atakuwa kidume.
Monyiaichi JF-Expert Member Joined Jul 5, 2012 Posts 1,826 Reaction score 508 Jun 8, 2015 #43 ebaeban said: Huyu Faraja Nyalandu siyo amefiwa na baba yake? Alitakiwa kuwa kwenye msiba huko Mbezi beach Click to expand... Habari ya msiba uliyoisoma leo ni ya zamani (2010), imerudishwa tu na mtu kwa sababu zake nyingine
ebaeban said: Huyu Faraja Nyalandu siyo amefiwa na baba yake? Alitakiwa kuwa kwenye msiba huko Mbezi beach Click to expand... Habari ya msiba uliyoisoma leo ni ya zamani (2010), imerudishwa tu na mtu kwa sababu zake nyingine