Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
Wadau mimi nimetoka Monduli mwezi wa nne mwaka huu,nimeona barabara za hovyo,madaraja yaliyochukuliwa na maji,wamasai wanaokunywa maziwa tu msimu wote wa masika na uji tu au ugali msimu wote wa kiangazi,marternal death rate za ajabu,Trekta ikitumika kama ambulance,soko na dispencary zaidi ya km 70.
Mimi sikuona maamuzi magumu,wadau labda mmeyaona?
Mimi sikuona maamuzi magumu,wadau labda mmeyaona?