Ariella A.K
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 198
- 60
Acha jazba kamanda Larry King bado anafanya shows cnn mara moja moja hasa j2,sio ile larry king live ya zamani ambayo siku hizi yuko muingereza Piers Morgan,ambae huwa siikosi show yake daily pamoja na 360 ya Anderson cooper,naijua ccn kuliko maelezo kaka!Mzee Larry juzi tu 0CT 16 2011 katoka kumuhoji JOHNNY DEFF!!!!!!!MCHECK HAPO CHINI
Johnny Depp Interview with Larry King / Oct 16 on CNN - YouTube
Pia wajapani, wakorea, (korea kaskazini ndyo kabisa hata cha kusalimia hawawezi lakini wana makombora ya nuclear)
Rais wa Mozambique alipotutembelea TZ aliongea kwa Kireno, ingawa anauwezo wa kuongea kiswahili na Kingereza cha kueleweka.
Mkuu, nmegundua kuna vilaza wengi sana humu jamvini na ndio maana badala ya kuwajenga wagombea wao wamebaki na kumjenga Lowassa wakifikiri wanambomoa!! kwanini nasema hivi, jamaa anawashangaa Wachina kuongozwa na Raisi asiyejua kiingereza, lkn unjiuliza hivi huyu hayajui MAENDELEO MAKUBWA YA KIUCHUMI NA KITEKNOLOJIA YA CHINA?? jibu ni kwamba watanzania wengi kwao kiingereza ndio Usomi na uwezo wa kutenda wa akili ya kiongozi! Tubadilike tujenge hoja za maana!
You're missing a bigger picture of it.
Kiingereza ndiyo lugha ya kufundishia Tanzania. Kutoka Secondary hadi chuo kikuu.
Lowassa ni msomi wa kiwango cha shahada. Hivyo amesoma kwa kutumia kiingereza hadi kupata hiyo shahada.
The BIG question is, kama hajui Kiingereza aliwezaje kufaulu masomo yake hadi kupata shahada.
kama Kiswahili ndiyo kingekuwa lugha ya kufundishia tusingekuwa na matatizo na Lowassa kutojua Kiingereza, kama tusivyokuwa na matatizo na Wachina, Wajapan, Warussia, Wakorea etc kutojua Kiingereza because it is not their lingual fracas
JK kingereza kinampiga chenga lakini ameweza kuleta maendeleo Tanzania. Hoja ya lugha haina uzito, tafuteni hoja nyingine.
We ndugu huna hata aibu unataka rais wa nch ajue kiingereza kwan lazima.shame upon you
JK kingereza kinampiga chenga lakini ameweza kuleta maendeleo Tanzania. Hoja ya lugha haina uzito, tafuteni hoja nyingine.
You're missing a bigger picture of it.
Kiingereza ndiyo lugha ya kufundishia Tanzania. Kutoka Secondary hadi chuo kikuu.
Lowassa ni msomi wa kiwango cha shahada. Hivyo amesoma kwa kutumia kiingereza hadi kupata hiyo shahada.
The BIG question is, kama hajui Kiingereza aliwezaje kufaulu masomo yake hadi kupata shahada.
kama Kiswahili ndiyo kingekuwa lugha ya kufundishia tusingekuwa na matatizo na Lowassa kutojua Kiingereza, kama tusivyokuwa na matatizo na Wachina, Wajapan, Warussia, Wakorea etc kutojua Kiingereza because it is not their lingual fracas
Rais wa Uchina haongei Ki Ing ereza.Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri