Lowassa na Kiingereza chake!


Kiingereza ni lugha ya kimataifa.

Rais atakapoenda kupiga deals kinataifa ataongea Kiswahili? Tupate disadvantage ya "loss in translation"?

Kiingereza si kigezo cha kwanza cha urais, lakini ni muhimu.
 

Mbona kuna mgombea walimweka hapa hata hukusema hivo?
 
Cha msingi na cha sec EL Kwa lugha huwez linganisha na huyu msukuma mwenzangu ...EL anaspeak English huyu English words
 
"Improve poverty" is subject to the larger context. English is a ridiculous language.

So that is arguable.

Kuna sehemu Lowasa kasema "our people are getting more poorer".

Nikasema duh.

What is wrong with "our people are getting more poorer"?
 

Mpuuzi kama wewe hupaswi kuvumiliwa kabisa kwa sababu huna dalili yeyote ya ustarabu. Wewe ndio ulidandia hoja matokeo yake kwa sababu umetawalia na ushabiki wa ukawa ukaleta matusi ambayo naamini ndio uliyojifunza kwa wazazi wako.

Laana umeanza kuitafuta wewe sio mimi na kama ni kupinda mdomo inabidi uanze kupinda wa kwako uliyeanza matusi. Kwani matusi yako uliyatoa kwa watu unaowajua? wewe mimi unanijua? Kwa taarifa yako mimi najitambua na sidanganyiki, na ndio mana i dont care iwapo aliyepiga push up yuko fiti au mgonjwa, au alijinyea au hakujinyea.

Ikiletwa hoja jadilia hoja, usimjadili mtoa hoja mburula wewe!!
 
Haya huyo ni lowasa..huyo pombe kingerrza chake ni janga kubwa mno....kwanza.
1.grammertically
2.spoken wise

yani ni worse!!ati phd!wasomi wa kitanzania bana!
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri


Sijakuelewa ubovu uko wapi hapo?
 
Last edited by a moderator:
Kwani Lowasa na Kikwete ni nani ana nafuu katika kuzungumza Kiingereza? Naona wote kama vile watu wa mtaani tu; wanaongea KISWANGLISH

Hebu tuwe wakweli El na Jk wote wawili wanaongea English safi. Ila Tathmini za wengi humu JF ndio zinatia wasiwasi. Zina mapengo.
 
Dhambi ya kumuua Mwakyembe haitakuacha

Mpendwa ndg yangu, Unaweza kuapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba unaamini toka ROHONI mwako kuwa ni Ukweli. Kama sio hivyo ninakushauri kajifungie utubu ili usamehewe dhambi. AMEN
 
Pole sana mtoto, kwa wendawazimu wako unadhani hufahamiki, subiri madhara yake. Usinitafute kwa yatakayofuata!
 
Wachina hawaongei kiingereza na wala hawataki kukijua, wanatumia wakalimani. Afadhali anayeongea anaeleweka hata kama anabreak!!
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

 
Last edited by a moderator:
Pole sana mtoto, kwa wendawazimu wako unadhani hufahamiki, subiri madhara yake. Usinitafute kwa yatakayofuata!

hahahahaaaaa seems you have no idea whom you are dealing with!! wewe kama ni mchawi utaishia kujiwangia mwenyewe. try me, and let us see who will suffer the most!! for your information i already have every detail i needed about you, so watch you tongue you little kid!
 
kiingereza hiki km.changu hiki cha to na the hata mimi nakiweza.... "deep shallow english"
 
The hero laughs last!
 
Hebu tuwe wakweli El na Jk wote wawili wanaongea English safi. Ila Tathmini za wengi humu JF ndio zinatia wasiwasi. Zina mapengo.

Lowassa yuko vizuri. Anajiamini anaposema kizungu. JK ni tatizo. Lugha ya Kiingereza hajaimudu. Mtizame anavyokuwa na wasiwasi (nervous) anapotakiwa kujadili jambo kwa lugha ya Kiingereza. Btw, uliwahi kuona interview yoyote ya JK kwa Kiingereza kama hiyo ya Lowassa? [Leave out ushiriki wake katika "panel" mbalimbali ambapo huenda na lundo la makabrasha]. Anyway, wote wanaweza kuwasiliana na Kiingereza, sifa ambayo ni tosha kwa Rais wa nchi kama yetu. Hatutafuti "gwiji wa lugha ya Kiingereza". Tunatafuta Rais wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…