mwangukule
Senior Member
- Aug 15, 2013
- 131
- 7
Correctly described mkuu!!! Mpe mafunzo ya kimombo huyo mccm ajue jinsi neno improve linavyoweza tumika positively and/or negatively!!!! kukariri ni shida kwetu watz na ndo'maana kipaumbele cha EL ni elimu, elimu, elimu!!!!
You can only improve strategies aimed at eliminating poverty.So, one can not improve his or her poverty level?
Kama hujui kiingereza nyamaza usichangie chochote.English structure yenyewe shida,badala ya "inadepend on the context" unaandika "inadepend with the context".Kama unakosoa basi jihakiki.Ni kweli brother but itadepend with the context and structual arrangements of words in which the word has been used, angalia context ulipolitumia hilo neno na context alipolitumia mheshimiwa, its obvious mhashimiwa kachemka, alichokifanya nikutaka kutafasiri kiswahili direct kwenda kingereza, kumbe ni maji na mafuta.
Nyie simmepata chakuzungumzia endeleeniBaada ya kuona magufulika kuwa hajui mnaleta ya lowasa too late
8Naumiza sana hiyooo ndo akili ya mpiga kura, hivyo ndo vigezo vya rais anayempenda....... hapo ni meaning ya kejek but In real case... rudin shule ambao hamjamwelewa lowassa anamaanisha nn hapo
Nashangaa na Wabongo! Wanasamehe makosa yoooote ya Kiswahili, ila ikija Kiingereza. Watu wanasema kula badala ya kura, tena mgombea urais, fulaha badala ya furaha, mgombea huyo huyo..
Mna nini nyie?
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Kama hujui kiingereza nyamaza usichangie chochote.English structure yenyewe shida,badala ya "inadepend on the context" unaandika "inadepend with the context".Kama unakosoa basi jihakiki.
We jamaa ni bwawa...kabsa. Lowassa yupo correct.Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Ndo akili yenu wapumbavu kudeal na kuteleza kwa ulimi pasipo kutazama dhamira! Shame on uLowassa atauboresha umaskini. That is the meaning of improving poverty. Kwa maana nyingine, Watanzania tutegemee kuwa maskini zaidi ya tulivyo sasa.
Nashangaa na Wabongo! Wanasamehe makosa yoooote ya Kiswahili, ila ikija Kiingereza. Watu wanasema kula badala ya kura, tena mgombea urais, fulaha badala ya furaha, mgombea huyo huyo..
Mna nini nyie?
Watanzania wenye akili na uelewa haya sio yakuyajadil kabisa, hebu tujiulize maisha yetu ya watanzania, then tuamue kuwaachia dora wezi wa ccm au tuamue kumpa dora mtu mwenye uthubutu na aliyezungukwa na watu makin na wenye uchungu wa kutupa katiba mpya itakayo leta usawa na maisha safi..... lugha sio kitu chaaa maana sana
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
Umechemka kabisa msiwe mnaanzisha uzi unaokufunga mwenyewe ndio maana amesema elimu, elimu, elimu.
Hivi unajua maana ya improve namatumizi yake au neno improvement???