Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Mkuu kama nakumbuka vizuri Mh.Sumaye aliwahi kufafanua kiundani kuhusu kilicho jili alisema Mh.Magufuli alitekeleza kilicho hamuliwa na Baraza la Mawaziri,sasa kwa nini mnapendelea sana kumzulia Mh.Magufuli?? Hapa mnajifanya hamjui kwamba wakati wa uhuzaji wa nyumba za Serikali Mh.Sumaye ndiye alikuwa Waziri Mkuu, mbona huyo hamumsemi mko kimya kabisa - tatizo lenu kiongozi yeyote akihamia kwemu kutoka CCM hata kama ana issues huko alikotoka nyinyi mnampamba pamba mnafikiri wapiga kura wanao jali mstakabari wa Taifa letu wanaweza kuhadaaliwa kirahisi.Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
Kama n kweli kiongozi maana monduli sijafika basi mawazo yangu kuwa lowassa bado sana
Mkuu kama nakumbuka vizuri Mh.Sumaye aliwahi kufafanua kiundani kuhusu kilicho jili alisema Mh.Magufuli alitekeleza kilicho hamuliwa na Baraza la Mawaziri,sasa kwa nini mnapendelea sana kumzulia Mh.Magufuli?? Hapa mnajifanya hamjui kwamba wakati wa uhuzaji wa nyumba za Serikali Mh.Sumaye ndiye alikuwa Waziri Mkuu, mbona huyo hamumsemi mko kimya kabisa - tatizo lenu kiongozi yeyote akihamia kwemu kutoka CCM hata kama ana issues huko alikotoka nyinyi mnampamba pamba mnafikiri wapiga kura wanao jali mstakabari wa Taifa letu wanaweza kuhadaaliwa kirahisi.
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
Wiki mbili zilizopita nilikuwa Monduli, kiukweli hali ni mbaya sana kupita maelezo yaani wananchi huduma kijamii hawana kabisa. Monduli unafuu unaletwa kidogo na huduma zitolewazo na chuo kikuu cha kijeshi cha TMA. Monduli watu hawana vyoo wanawategemea punda kula vinyesi vyao yaani kwa mmasai bora umuibie ng'ombe kuliko punda.
Tatizo la waTanzania hatuna exposure kwahiyo kudanganywa ni rahisi sana. Lowasa amekuwa mbunge wa monduli toka 1985 mpaka sasa ni miaka 30 afu mtu huyohuyo anasema CCM haijafanya chochote wakati yeye kazeekea humohumo.
Magufuli sasa.
Magufuli amekuwa mbunge wa chato kwa miaka 20 sasa lakini aliyoyafanya ni makubwa mno mpaka watu wanalalamika kuwa anakupendelea chato.
Chato kuna kila kitu barabara nzuri, maji, mpaka traffic light.
Ni ujinga kuwapambanisha lowasa na magufuli labda kwa utajiri wa ufisadi.
Asanteni
Lowasa fake design kabisaaaa. Anachukia umaskini na jimboni kwake je?
Hakua na rungu. Leo anataka kua na rungu. Mkwera kwao umekuona?
Lowasa ni mgonjwa na isitoshe hana lolote jipya kwetu sisi.
Waziri mkuu ana power ngapi (rungu), ana executive power (administration )hayo ni mamlaka makubwa mno mno katika wizara zote. Yeye ndie msimamizi mkuu wa serikali katika wizara zote. Hivi wewe unajua sheria mzee. Au tunabisha tu.
Kati ya kauli inayonikera ni ati ataanzisha benki ya wenye bodaboda na mama lishe, je wakulima sio marafiki zake ambao ni 80% ya wa Tanzania?
Ngoja nikazie mdogo wangu
Hapa kwenye suala la ugonjwa maana naona lina umuhimu wake
Kuugua tunaugua wote
Na kila mtu huugua
Na hatumchek lowasa kwa kuugua
Shida yetu kubwa n kwamba
Lowasa ni mgonjwa lakin anang'ang'ania madaraka makubwa yasiyoendana na afya yake
Rais kikwete anamaliza mda wake lakin anaweza hata kukimbia
Jmn huyu Lowasa anaitafuta ikulu kwa gharama yoyote Hawez hata kukimbia jmn
Twende na li magufuli
LinawezA sana kazi
Limetuonyesha mfano wa wizara zote lilipopita
Lenyewe sio limtu la dili kama Lowasa
anauchukia umaskini ndo maana alikaa
osyerbay na sio manzese,hivi magufuli anavyo sema serikali ya magufuli itakuwa ya viwanda wakati umeme hata wakuwasha mafriji ya soda ni shida hivyo viwanda vitaendeshwa kwa mishumaaa?
Kati ya kauli inayonikera ni ati ataanzisha benki ya wenye bodaboda na mama lishe, je wakulima sio marafiki zake ambao ni 80% ya wa Tanzania?
LOWASA NA KAULI ZA KILAGHAI:
Mgombea wa urais, Lowasa amezidi kuwahadaa Watanzania kwa kauli zake za kilaghai.Hususani anaposema,
Anachukia umasikini na huchukii rushwa sasa ataondoaje umasikini huo?
Anasema anachukia umasikini wala haoneshi kuwa na mipango yoyote ya kiuchumi na kimkakati ya kuiondoa Tanzania kwenye umasikini.
Anachukia umasikini wala haoneshi kama anawachukia marafiki zako wengi wakwepa kodi na wengi wapigaji wanajulikana kwa majina, atauondoaje huo umasikini?
Anachukia umasikini nusu ya Umri wa Maisha yake ameishi Ostabay , juzi tu ndo amepanda daladala kuigiza na ndo ameenda Mbagala ambayo sisi haya ndo maisha yetu,
Na akiwa Ostabay nusu ya marafiki zako ni matajiri tu , Siku zote ndani ya magari ya tinted majirani tajiri , marafiki tajiri anachukia umasikini vipi kama sio ulaghai.
Kama kweli anauchukia umasikini alipo kuwa kiongozi alifanya initiative gani kuiondoa Tanzania kwenye umasikini zaidi ya kushiriki, kuharibu na kuchukua hata vile vidogo ambavyo vingewasaidia watanzania.
Kama anachukia umasikini kule nyumbani Monduli pamoja na utajiri alio nao amewasaidiaje vijana? tuanze kumpima hapo kama kweli kwa sababu sharing is caring and charity begun at home, Maisha ya Monduli ni magumu kupindukia na vijana wanakimbilia Dar es Salaam wakati yeye tajiri!!! Hata kiwanda cha kusindika maziwa ameshindwa kujenga kule Monduli,kama sio ulaghai ndo ataweza kuondoa umasikini!
MTU ambaye ni sehem ya umasikini huu tena kwa kiwango cha juu kabisa anapokuja na nyimbo nzuri kama hizo muda kama huu , atazamwe kwa macho makali usoni , sura na anacho kizungumza mdomoni ni vitu viwili tofauti.
Tafakari kwa Sauti!!!!
Kiini macho na ulaghai ni wa ccm na mgombea wake.wanatoa ahadi kwamba watafanya hiki na kile ,sasa wao ndi wapo madarakani kwa miaka yote kwa nini hawakuyafanya hayo wanayoahidi?au wamekuja na ccm nyingine?wenyewe wanasema ccm ni ile ile na wanahubiri nao mabadiliko!mabadiliko ya nini?mbona sera zilezile?CCM iache ulaghai.tumechoka na nasema CCM haifai kabisa.
Lowassa hana ubavu wakuutoa umaskini. Ulimshinda jimboni kwake ndio ataweza Tanzania.