Lowassa na genge lake Vs gesi yetu!

ndumbulwe

Senior Member
Jul 12, 2015
105
0
[QUwOTE=njiwa;13856583]Lowassa, masha, sumaye , rostam aziz ... Mtakuwa mmebadilisha nini?[/QUOTE]

Wamekaririshwa hao hata ukitaka kununua chungwa unambiwa ndiyo maana tunataka mabadiliko ili bei ya machungwa ishuke...hawajui huu si msimu wa machungwa! Ndiyo maana mamba wa mto mara wanafaidi
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,701
2,000
Lowasa ni mtu mwepesi tu anapigwa chini 25 October then atatafuta pa kuishi
 

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,459
2,000
Vyovyote vile tofauti ni kwamba Raisi Kikwete siyo mtu binafsi bali ni taasisi hata kama atakuwa amepeleka Gesi yetu Bagamoyo hilo siyo tatizo kwa maana Bagamoyo bado ni TanZania na kama Bagamoyo ikifaidika basi TanZania pia itakuwa imefaidika kwa maana mtu wa Tanga au Kigoma anaweza kwenda Bagamoyo na kupata kazi na isitoshe Raisi Kikwete muda wake umeisha na Raisi mwingine anakuja lkn Gesi yetu inabakia mali yetu tofauti na fisadi Lowasa na Genge lake ambao wanataka kujimilikisha wao pamoja na familia zao na hilo kosa la kuwapa madaraka likifanyika TanZania yetu kama tuijuavyo ndiyo bye bye tena na itachukua vita kubwa kama Kongo kuweza kuipokonya kutoka kwenye hili Genge!
Na ndiyo maana naipongeza sana tume ya maadili ya CCM kwa kuona mbali!

Hata uandike nini kura yangu ni kwa lowassa
 

haa mym

JF-Expert Member
Jul 7, 2014
4,467
2,000
Laiti kama kila mtu angelikuwa ana moyo mwepesi wa kuweka mambo hadharani basi yule jamaa hawahawa wanaomshabikia wangempiga mawe ila inabidi tuwe na maadili ya kukaa kimya ili nchi isiyumbe.

Hongera kikwete na ccm pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa kuliona hilo.
 

chazdsm

New Member
Jul 30, 2015
1
0
Kwa hiyo yule mtoto wa mkubwa aliyeandaliwa kuwa msambazaji pekee wa hiyo gesi ni mtoto wa Lowasa? Na in Lowasa aliyeshinikiza ule mswada wa mafuta na gesi upitishwe haraka haraka bungeni? Msifikiri sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki na hat it a sang any oka mwaka huu lazima muondoke mtuachie rasiimali zetu mlizoatamia.
Ttytfgy
 

Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Watanzania Lowassa hatokuwa peke yake. Atakuwa na timu nzima ya makamanda nyuma yake. Nchi haitawaliwi na mtu bwana CCM msitudanganye. Kinatawala chama. Viva CHADEMA viva UKAWA!
Hiyo timu ya makamanda wako wapi wakati hata katika kampeni haandamani nao??
 

pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
745
250
Hivi Lowasa ndio aliyepitisha miswada ya mafuta na gesi kwa hati ya dharura?
 

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,205
1,250
Hata lowassa akiiuza tanzania kwa marekani bado ntampigia kura aniuze tu maana hakuna nam nyingine, sio gesi tu, hata akituuza watanzania tuko radhi.
Yesuuu komnyo ya kwansa, wewe akili iko kwenye makalio sio bure, mtu mwenye akili timamu hawezi sema ulichoandika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom