Lowassa na genge lake Vs gesi yetu!

Lowassa na genge lake Vs gesi yetu!

Tatizo ccm kupiga watu wanao dai haki kama dr ulimboka na mwangosi halafu wahusika hawakamatwi ndiyo tunata mavadiriko
 
Kama kweli ni hivyo mbona mmeingia mikataba ya gesi mingi bila sheria. Na kama kweli nyinyi mnipenda nchi hii mbona mmmefanya siri mikataba hiyo ya gesi. Kama kweli ni hivyo mbona mmeleta sheria ya gesi kwa hati ya dharura na kulazimisha. Naona hawa walio madarakani ndio wanaogopa madudu yao waliyoyafanya kwenye mikataba na sheria ya gesi kuumbuliwa.
 
Baada ya kujimilikisha Migodi yetu yote ya TanZania na kuwaachia wenyeji mashimo sasa fisadi Lowasa na Genge lake wamegeukia Gesi yetu, hii Gesi ndiyo inayowapeleka puta, hizi kelele zote, huku kutafuta Uraisi kwa gharama yoyote ile kwanza kulianzia ndani ya CCM kukashindikana na sasa kumehamia chadema kuna lengo moja tu nalo ni Gesi yetu iliyogunduliwa kwa wingi huko Pwani ya Kusini mwa nchi yetu!

Mafisadi wakiongozwa na Lowasa baada ya Wazalendo wa CCM kuwashtukia na kuwanyima Uraisi sasa wamehamishia nguvu zote upande wa Upinzani dhidi ya Chama Dola rejea watu walio kwenye Genge la Fisadi Lowasa ni Mengi huyu anajulikana kwa ugomvi wake na Waziri Muhongo baada ya kunyimwa kitalu cha Gesi kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kukiendeleza, Rostamu Aziz huyu ndiye mwizi mkubwa wa Rasilimali zetu rejea nani anatenda ya Migodi yote ya dhahabu nchini, Karamagi huyu ndiye aliyeuza Migodi yetu hotelini huko nchini Uingereza, Rugemalira huyu ndiyo King maker wa Escrow na saga lote la Richmond n.k

Hivyo kama MtanZania na mpenda nchi yangu naishukuru sana Kamati ya maadili kwa kuliona hilo na kulikata jina la fisadi Lowasa, ikumbukwe kwamba Kamati ya maadili inajumuisha maraisi wetu wastaafu na watu wetu wa Usalama hivyo kuna mambo waliyoyaona ambayo sisi watu wa kawaida hatuna uwezo wa kuyaona ila ni jukumu letu kuwaelimisha Manyumbu ambao wananunuliwa viroba na fisadi Lowasa ili walete fujo!

Hongereni Kamati ya Maadili ya CCM!

Lowasa ndyo kiboko yenu akiingia lazma mikataba yote ipitiwe upya.. Hapa lazima atapike mtu
 
baada ya kujimilikisha migodi yetu yote ya tanzania na kuwaachia wenyeji mashimo sasa fisadi lowasa na genge lake wamegeukia gesi yetu, hii gesi ndiyo inayowapeleka puta, hizi kelele zote, huku kutafuta uraisi kwa gharama yoyote ile kwanza kulianzia ndani ya ccm kukashindikana na sasa kumehamia chadema kuna lengo moja tu nalo ni gesi yetu iliyogunduliwa kwa wingi huko pwani ya kusini mwa nchi yetu!

Mafisadi wakiongozwa na lowasa baada ya wazalendo wa ccm kuwashtukia na kuwanyima uraisi sasa wamehamishia nguvu zote upande wa upinzani dhidi ya chama dola rejea watu walio kwenye genge la fisadi lowasa ni mengi huyu anajulikana kwa ugomvi wake na waziri muhongo baada ya kunyimwa kitalu cha gesi kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kukiendeleza, rostamu aziz huyu ndiye mwizi mkubwa wa rasilimali zetu rejea nani anatenda ya migodi yote ya dhahabu nchini, karamagi huyu ndiye aliyeuza migodi yetu hotelini huko nchini uingereza, rugemalira huyu ndiyo king maker wa escrow na saga lote la richmond n.k

hivyo kama mtanzania na mpenda nchi yangu naishukuru sana kamati ya maadili kwa kuliona hilo na kulikata jina la fisadi lowasa, ikumbukwe kwamba kamati ya maadili inajumuisha maraisi wetu wastaafu na watu wetu wa usalama hivyo kuna mambo waliyoyaona ambayo sisi watu wa kawaida hatuna uwezo wa kuyaona ila ni jukumu letu kuwaelimisha manyumbu ambao wananunuliwa viroba na fisadi lowasa ili walete fujo!

hongereni kamati ya maadili ya ccm!
hapa kazi tu,ikulu wataenda kunywa chai kama kawaida yao
 
Baada ya kujimilikisha Migodi yetu yote ya TanZania na kuwaachia wenyeji mashimo sasa fisadi Lowasa na Genge lake wamegeukia Gesi yetu, hii Gesi ndiyo inayowapeleka puta, hizi kelele zote, huku kutafuta Uraisi kwa gharama yoyote ile kwanza kulianzia ndani ya CCM kukashindikana na sasa kumehamia chadema kuna lengo moja tu nalo ni Gesi yetu iliyogunduliwa kwa wingi huko Pwani ya Kusini mwa nchi yetu!

Mafisadi wakiongozwa na Lowasa baada ya Wazalendo wa CCM kuwashtukia na kuwanyima Uraisi sasa wamehamishia nguvu zote upande wa Upinzani dhidi ya Chama Dola rejea watu walio kwenye Genge la Fisadi Lowasa ni Mengi huyu anajulikana kwa ugomvi wake na Waziri Muhongo baada ya kunyimwa kitalu cha Gesi kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kukiendeleza, Rostamu Aziz huyu ndiye mwizi mkubwa wa Rasilimali zetu rejea nani anatenda ya Migodi yote ya dhahabu nchini, Karamagi huyu ndiye aliyeuza Migodi yetu hotelini huko nchini Uingereza, Rugemalira huyu ndiyo King maker wa Escrow na saga lote la Richmond n.k

Hivyo kama MtanZania na mpenda nchi yangu naishukuru sana Kamati ya maadili kwa kuliona hilo na kulikata jina la fisadi Lowasa, ikumbukwe kwamba Kamati ya maadili inajumuisha maraisi wetu wastaafu na watu wetu wa Usalama hivyo kuna mambo waliyoyaona ambayo sisi watu wa kawaida hatuna uwezo wa kuyaona ila ni jukumu letu kuwaelimisha Manyumbu ambao wananunuliwa viroba na fisadi Lowasa ili walete fujo!

Hongereni Kamati ya Maadili ya CCM!
Kwa hiyo yule mtoto wa mkubwa aliyeandaliwa kuwa msambazaji pekee wa hiyo gesi ni mtoto wa Lowasa? Na in Lowasa aliyeshinikiza ule mswada wa mafuta na gesi upitishwe haraka haraka bungeni? Msifikiri sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki na hat it a sang any oka mwaka huu lazima muondoke mtuachie rasiimali zetu mlizoatamia.
 
Hahaaaaa..Mtoa mada wamekupa ngapi kwenye ule mgao wa kumchafua presidaa wetu?
Lowasa atashinda zaidi ya 75%. Endeleeni kupoteaza mda sisi huku tumeshaandaa kikatio😃😃😃
 
Tanzanite one inamolikiwa na Riz one mbona hujasema? Anajulikana ni muuza Sembe mbona hatajwi.
 
una fikra fupi sana, tena ndo mwisho wa upeo wako, hapa taz, fisad au mwiz anathibitika mahakamani, ni nani aliekuambia hao uliowataja ni wezi, kumbuka uchafu unaoutaja ni kwenye mfumo mbovu wa serikal yako dhaifu inayoruhus hata wez kugombea urais, wengne wanaomba mechi na mwiz wafanye mjadala, nyambafu kweli, badala ya kupeleka mwizi mahakamani, wanaomba mjadala, tunataka serikal inayoweza kushtaki wezi na sio kuomba nae mjadala kwenye tv
 
11986348_1624294394496271_4490263252369599123_n.jpg
 
Kama tu kwenye kumchukuwa fisadi Lowasa chadema haikuheshimu hata Katiba yake yenyewe iliyojiwekea iweje wakishika Dola?
Nchi haifanyiwi majaribio hata siku Moja, kama mnataka Majaribio fanyeni kwenye udiwani!

Poa na vipi kuhusu swali langu la awali nyie CCM mmefanya nini cha maana na dhahabu, almasi na tanzanite yetu tangu uhuru mpaka tuwaamini na gesi yetu?
 
escrow; epa;madawa ya kulevya; meno ya Tembo ;kuuzwa viwanda ;kukosa dawa hospital; umasikini ;rushwa; uonevu.ndani ya nchi hii..na mengine mengi.. yote hayo ni EL

Hii copy and paste sijui aliianzishaga nani. Manake huko Facebook naona inatumika kweli.
 
Mkuu umeandika maneno ya busara sana.. Ingawa wapo wanaokupinga nyoyo zao zinawasuta
 
Kwa ushaidi alioutoa Dr.slaa, mimi na Lowasa basi, kura yangu imeenda kwa magufuli.
 
Back
Top Bottom