Lowassa na falsafa ya maji kwenye pakacha

Lowassa na falsafa ya maji kwenye pakacha

amefanya nini kuhusu elimu jimboni kwake ?

Kama huwajui Wamasai swali lako nitakujibu. lkn kama unajua kwamba shule zilifika kila kata swali lako halina maana. kuhimiza elimu ni jambo moja na mtu binafsi kuamua kusoma ni jambo jingine. labda ulitaka aende nyumba kwa nyumba umasaini ili kujua nani hajakwenda shule? Alichofanya yeye ni kujenga shule, walimu wapo au hawapo ni jambo jingine.
 
Mm sina shaka na lowassa hata kidogo japo mm ni mpinzani lakini lawassa ni jembe sana CCM hakuna mwenye uwezo wake hata robo! Ukimya wake ni ishara nzito sana kwa taifa kwa sababu uwizi upo taasisi kubwa sana nadhani anaomba mungu muda ufike afanye yake nchi inanuka! CCM mti wenye matunda ndio unapigwa mawe kama anakubalika na wananchi kwanini muweke asiyekubalika ili mutumie nguvu kubwa ya kuiba kura? Lowassa atosha wala haitaji kampeni za urais
 
Mm sina shaka na lowassa hata kidogo japo mm ni mpinzani lakini lawassa ni jembe sana CCM hakuna mwenye uwezo wake hata robo! Ukimya wake ni ishara nzito sana kwa taifa kwa sababu uwizi upo taasisi kubwa sana nadhani anaomba mungu muda ufike afanye yake nchi inanuka! CCM mti wenye matunda ndio unapigwa mawe kama anakubalika na wananchi kwanini muweke asiyekubalika ili mutumie nguvu kubwa ya kuiba kura? Lowassa atosha wala haitaji kampeni za urais! Mungu mbariki lowassa mungu ibariki tanzania amina! Watanzania hatuchagui tena vyama tunachagua watu wachapa kazi tuuuuuuuuuu
 
Wanaompinga Lowassa ndani ya Chama na serikali ni wadokozi na wala rushwa mafisadi waliobobea. Wanamuogopa huyu bwana siyo msemaji lakini anaweza kuwafyekafyeka wadokozi kimya kimya bila wao kujitambua. Ukitaka suala la rushwa lipungue kabisa ni kupambana na kimyakimya. Lowassa anaweza ni mkimya na utendaji wake wa kazi ni kimya, Hana blabla Kama viongozi wengine hasa kwenye chamba cha magamba.
 
Anayeweza anaweza tu, wala hatuna kinyongo naye labda kwa wale Team ........ Tusubiri nani watapambana kura za maoni,,, Mie napenda nxhi hii apewe SALIM A SALIM,,, WARIOBA ,, MAGUFULI,, ama MBOWE.
Mtizamo tu
 
Watanzania kumbe tuna matatizo zaidi ya yanayoonekana!! Watu mnasifia upumbavu waziwazi hata aibu hamna!!

Huu ushabiki maandazi huu ndio uliotumika 2005 na 2010 sasa unalitafuna Taifa, na kila siku mnalia eti Raisi hafanyi maamuzi kwa mafisadi wakati mlimchagua kwa kigezo cha u-handsome!! Shame on you guys!!

Leo jambazi linagawa pesa waziwazi tena alizowaibia bado mnategemea akemee ufisadi!!?? Eti "anna maamuzi magumu"!!? Maamuzi magumu kwa kutuibia then akaona aibu akajiuzuru ndo maamuzi magumu!? Shame on you!!

Urais sio kamari kwamba tunajaribu!! Acheni upumb**u watanzania!! Sio mnaleta ushabiki usio na msingi uje kutugharimu baadae!! Nawauliza AKILI ZENU ZIMEENDA WAPI!?? Mbona vitu vingine havihitaji digree kuvibaini??
 
Back
Top Bottom