Lowassa mzalendo wa kweli

Hizi habari aambiwe Lema, Msigwa,Lissu, Mnyika, Mbowe na CDM wote wamuombe radhi hadharani na KUKIRI kuwa ushahidi waliokuwanao ulikuwa ni wa uongo,Japo inabidi watuonyeshe kwanza huo ushahidi ili tuamue kama wa uongo au ukweli.
 
Hizi habari aambiwe msigwa,Lissu, Mnyika, Mbowe na CDM wote wamuombe radhi hadharani na ushahidi waliokuwanao ulikuwa ni wa uongo,Japo inabidi watuonyeshe kwanza huo ushahidi ili tuamue kama wa uongo au ukweli.
Hats yeye lowassa alijua hayo ni mambo ya kisiasa ndio maana akahamia cdm bila kinyongo kwani anatambua ccm kuna mijizi na ukweli ndio huu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
Nikweli ikiundwa kamati kupitia tena yale ya richimond tukiacha ile ya mwakyembe asipo pitiwa humor basis ndio tuseme
 
Jibu hoja kama mchafu mbona hatajwi sio kutuonyesha chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mwizi hawi Mwizi kwa kuwa hajatajwa kwny report za Wizi?
Kwny Richmond alishatajwa na ndio ilipelekea hata Nyie mkashiriki kutujulisha Wizi wake kupitia Tovuti rasmi ya Chama chenu jina lake lilikuwa anatambulika Kama Fisadi mpaka tarehe 27 July, 2015 ndipo lilitolewa baada ya taratibu za Mauziano kukamilika chini ya udalali wa Josephat Gwajima
 
Waliyomuimba hivi sasa wanacheza nae,hivyo wao ndiyo wanapaswa kujibu hili.
 
Unakipwa shilingi ngapi? Bunge na CHADEMA Ndio walio mtuhumu. Wala sio CCM. Kama isingekuwa CHADEMA. Leo hii Lowassa angekuwa Rais wa TANZANIA. Tuhuma zile za Dr Slaa na Lissu na Mnyikaa. Ndio ziliwafanya CCM wasite kumteuwa kuwa mngombea wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
Ndiyo hivyo. Hasa baada ya kutoa ushahidi wa usafi wake juu ya tuhuma za Richmond kwa Kamati kuu ya Chama. Na aliweka wazi kuwa kama kuna mwenye ushahidi kuwa kahusika yuko tayari kwenda mahakamani. Huo ni ujasiri wa hali ya juu, tunataka na wale waliowapa ndugu zao nyumba za serikali, walio nunua vivuko (sijataja kipi kwani kuna ambavyo havitajwi) nk nao watuambie hivyohivyo kuwa wako tayari kwenda mahakamani kama kuna ushahidi.
 

"....They have a wish which am going to grant...". Kuna sorry hapo au jaribu la kulaumu tu waliofanya uchunguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…