Lowassa mzalendo wa kweli

HIVI NI MAFISADI GANI WALIKIHAMA CCM NA KUZAMA KWENYE VYAMA VINGINE VYA SIASA?
 

so taarifa ya kuwa ni fisadi chadema waliipata wapi?
 
Vijana mkishiba makande mnakuja huku kututangazia viwango vyenu vya upumbavu.

List of shame ya 2007 iliandaliwa na CCM?

Hivi huwa ni utashi wenu au mnalipwa kuja kupaka huu uharo huku?
 
Hahaha hahahahahahahahah mnachekeshaje
 
Mh. Rais Magufuli ni mungwana sana itachukuwa muda wengi kumuelewa haendekezi umbea kwenye utendaji wa serikali. Lowassa amekuwa muhanga wa uongozi wa juu uliyendekeza umbea serikalini. Kusimamia serikali inahitaji kujitoa muhanga na siyo kuwa na ndimi mbili. Mungu ametupatia kiongozi ambaye kimaamuzi amefanana na Edward Lowassa. Tungepata wale wengine waliowahitaji "wao" Tanzanite yetu, Almasi yetu na Dhahabu yetu ingeedelea kuteketea.Hao waliohongwa almasi ya 200m washughulikiwe maraja moja ili wengine wenye nia ovu kama hiyo washike adabu na wajawe na hofu ya kutuibia mali zetu.
 


Kwani Fisadi Lowasa ni Babako hadi utoke povu kumtetea? Kwa nini hata watoto na familia yake hawamtetei hivyo? Get life, house nigger, angalia maisha yako, bitch!
 
Acha kujikweza Wewe nani ndani ya Chadema?

Makubaliano ya kumteua kuwa Mgombea Urais walifanya Gwajima na Mbowe halafu Kamati kuu ikaitwa kupewa Taarifa tu ya utekelezaji!
Sawa mkuu
 
Kwani Fisadi Lowasa ni Babako hadi utoke povu kumtetea? Kwa nini hata watoto na familia yake hawamtetei hivyo? Get life, house nigger, angalia maisha yako, bitch!
kaka vipi, mbona unahangaika kama kuku wa kienyeji anaetaga kwa mara ya kwanza? tulia na ccm yako. endeleeni kuuumbuana kwani huo ndio uwanja wa mijizi.
 
Dah mtoa mada ccm ilimkataa lowasa kwa sababu chadema wamemuita mwizi na wao wana watu weng wa kugombea nafas ya urais hiyo ndio sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni chama safi tatizo hawa wanachama wake hasa wale wa ngazi za juu ambao ni viongozi wakubwa serikalini na kwenye chama hawa ndo wanaalibu chama ,serikali iwachukulie hatua kali kabisa za kisheri ili iwe fundisho kwa wengine bila ya hivyo watakichafua hiki chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipata nafasi ya kueleza ukweli na akaeleweka vizuri. Shida iko wapi?
Hata Mandela nchi nyingi za magharibi zilimuorodhesha kama gaidi (kitu ambacho ni kibaya zaidi kuliko fisadi) lakini alipo pata nafasi ya kujieleza kafa akijulikana kama shujaa.
kwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…