Lowassa mzalendo wa kweli

Mtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
Mbona magufuli anaamini nchi zima wezi ndo maana hataki kusafiri .....lakini hapo hapo mahakama ya wezi hamna kesi nashindwa kuelewa kiswahili chake.....
 
hahaha utadhani Tanzanite na mwadui ziligunduliwa siku alipohamia chadema.
huu ujinga sijui utakoma lini...
 
Ccm sitawaamini wakisema.

Mpaka atamke Mnyika na Kubenea ndipo ntaamini.
 
Mtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
Alipata nafasi ya kueleza ukweli na akaeleweka vizuri. Shida iko wapi?
Hata Mandela nchi nyingi za magharibi zilimuorodhesha kama gaidi (kitu ambacho ni kibaya zaidi kuliko fisadi) lakini alipo pata nafasi ya kujieleza kafa akijulikana kama shujaa.
 
unajisahulisha mkuu, wa kumtaka radhi ni Chadema
 
Tukutane 2020 lazima watu waondoke watake wasitake wameiba vya kutosha alafu wanajinasubu kuwa ccm ya wanyonge - 2020 is loading

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafikiri angeandika jina lake kwenye kila dili? Huyo mzee anakula kupitia kwenye mtandao wake, kwa hiyo tulia.
 
Alipata nafasi ya kueleza ukweli na akaeleweka vizuri. Shida iko wapi?
Hata Mandela nchi nyingi za magharibi zilimuorodhesha kama gaidi (kitu ambacho ni kibaya zaidi kuliko fisadi) lakini alipo pata nafasi ya kujieleza kafa akijulikana kama shujaa.

Acha kujikweza Wewe nani ndani ya Chadema?

Makubaliano ya kumteua kuwa Mgombea Urais walifanya Gwajima na Mbowe halafu Kamati kuu ikaitwa kupewa Taarifa tu ya utekelezaji!
 
Na nazan hzi kamat zote wanaziunda ili kumtafuta yy lkn majibu yakija inakula kwao wenyewe!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujikweza Wewe nani ndani ya Chadema?

Makubaliano ya kumteua kuwa Mgombea Urais walifanya Gwajima na Mbowe halafu Kamati kuu ikaitwa kupewa Taarifa tu ya utekelezaji!
Mbona umebadili mada

Anzisha yako tuje tuchangie mbali na hapo kelele za kiuchwara hizo
 
Mbona umebadili mada

Anzisha yako tuje tuchangie mbali na hapo kelele za kiuchwara hizo

changia vinavyohusiana na mada hii achana nayo kwani nani kakwambia usipochngia hii utapewa talaka tatu na basha wako?
 
Lowassa ni intelligent aisee yaaan anatajwaa tu kama fisadi mkubwa lakini ufisadi wake hauna uthibiyishoo yaaan kamati zote hizi haonekani huyu mzee smart sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnajifanya kujisahaulisha? CCM haikuwahi kumsema lowassa kuwa fisadi. chadema ndo wamuombe radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…