Lowassa mzalendo wa kweli

Ccm walitishwa wakakwepa Jab, wamepigwa upper cut!
Refa anawahesabia kishafika saba.
 
Hoja yako ni nzuri mkuu kwa jicho la kitendaji ila kwa jicho la kisiasa nasubiri wenyewe waje waendeleze mchuano
 
Chuki Dhidi ya aliyefanikiwa haiwezi kumsaidia maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwongo- alisema hata katika kipindi hiki cha mabadiliko, bado mabadiliko ya kweli yatatoka ccm, pia alisema na kupongeza utawala wa kikwete mzuri, alisema hawezi kuhama ccm. Wiki moja ru baadae akaongea kunyume na hayo maneno., fisadi- tuliaminishwa kuwa ni fisadi nna chadema wenyewe na hata walisema wana ushahidi na ufisadi wa babu wakiutangazia umma wa watz kuwa babu mpigaji, MWIGIZAJI - wakati wa kampeni alifikia hata kipanda daladala na wananchi eti akizuga kiwapenda, alipita tandale sokoni kuangalia shuguli mbalimbali akionuesha upendo kwa wananchi, siku hizi hatumwoni tena. Nafikiri nitakuwa nimekujibi vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu kaniuliza swali...

Lowasa ndiye mtu aliyeimbwa sana kuwa ni Fisadi ndani ya nchi hii. Lakini cha ajabu hizi report zote zilizosomwa tangu kuingia awamu ya 5 Jina la Lowasa halijapata kuonekana wala kusikika kwenye report hizo, sababu ni nini..?

Usione Nipo Kimya Nakusubiri Uropoke
 
Watasema Amewaonga wanakamati.

Lumumba FC is Full Of Fools.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumgusa Lowasa


Katiba ibadilishwe ili hata rais aliyepo madarakani aweze kushitakiwa.


Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 


Mtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…