mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Sioni kosa hapoMzalendo gani kuucha kutwa ni kwenda kupigia kampeni wakenya wakati ya kwake yanamshinda.
Mzalendo gani kuucha kutwa ni kwenda kupigia kampeni wakenya wakati ya kwake yanamshinda.kuna uchaguzi wapi tanzania afanye kampeni? mkimuona popote chupi zinawabana
Sasa huo sio uzalendo wa kweli,mzalendo gani hata kuandamana tu anaingia mitini.
Kuandamana sii uzalendoSasa huo sio uzalendo wa kweli,mzalendo gani hata kuandamana tu anaingia mitini.
Pale aliposema "hii ni zamu yetu walutheri"ndipo nilipomdharau kabisa hana uzalendo wowote ni mdini namba moja na anataka kutugawa watanzania.
Kama ni mzalendo mwambie aendelee kugawa mapesa makanisani na misikitini
Sina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.
Ninani tena Tanzania yetu hii anayeweza kukubali makosa yake na kuamua kuwajibika kwa kuachia ngazi?
Nawakumbuka watu wawili tuu na historia itawakumbuka kama wazalendo halisi wa nchi yetu.
Wengine wamebaki wanaimba wimbo wa uzalendo bila ladha. Wanachosema na wanachofanya haviakisi neno uzalendo.
Madudu kibao wamefanywa na hawa wazalendo jina lkn hawapo tayari kusema hata sorry kwa hasara walizoliletea taifa.
Nyumba za serikali zimeuzwa no sorry, barabara chini ya kiwango no sorry, bunge kutunga sheria za kimauzauza no sorry.
Je ni Lowassa tuu na mzee Mwinyi ndio wenye ujasiri wa uzalendo wa kustep down na kusema sorry?
Viva wazalendo wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuingiza siku wahi fasta mikocheni ukajipatie bahasha yako kwa kazi nzuriSina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.