Lowassa miaka 3, Sumaye miaka 10 Waziri Mkuu

Lowassa miaka 3, Sumaye miaka 10 Waziri Mkuu

Dankbar

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
98
Reaction score
113
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.

Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.

Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
 
Wakati KANU inakufa Kenya walichagua mpinzani Mwai Kibaki ambaye alishakuwa makamu wa raisi wa Moi,huwezikupata watu wapya kabisa kwenye siasa tunachotaka ni kuutoa mfumo wa CCM basi.CCM OUT

Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
 
Cha ajabu zaidi hata yule aliyekaa kwenye wadhifa huo kwa miaka 10 bado anahamu ya kuingia tena madarakani sijui amesahau nini huyu
 
nikitadhmini hii nafasi ya uwaziri mkuu hapa nchini kwa miaka 20 sasa na aina ya watu walio kalia hiki kiti ndani ya kipindi hiki. mmmmh kazi ipo!
 
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.

Wacha zifungwe dola moja ya USA ni Kenyan Shillings 75 na ni Tanzanian shillings 2200,na watoto wetu wanapata elimu bora Kenya na Uganda,hovyo kabisa .CCM OUT.
 
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka ccm. Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka ccm, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza. Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowasa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Kama kigezo ni muda, ccm ina miaka zaidi ya 50!!!!,
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.*** na sis tunasema***whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only.
 
CCM miaka 55 inatosha tena muwe na shukran kwa Watanzania
 
Mbn Magufuli ana 15 serikalini na ishu si mtu,ishu ni chama,bytheway kila mtu ana haki kimsingi ya kuchagua amtakaye kati yao,mbn mnapanic?? Chagua wako pia nachagua wangu si una kadi?
 
Hata hivyo CCM iondoke tu. Hao wameshakuja na kuongozwa sala ya toba na kuingia katika gari la mabadiliko. Hata angekuwa Mkapa ilimradi anaongoza kuuondoa mfumo huu mbovu angeshabikiwa tu. Pole gamba

Iondoke aingie nani
 
Back
Top Bottom