CCM OUT hatuna mda wa kusoma story nyingi eti mnataka watu wapya!!!Cheap politics ata Nyerere alikuwa ana cheo ndani ya Serikali ya mkoloni akaachana nao na kuanza maisha tofauti,Dk Slaa alikuwa Ccm maana wote tulitoka kwenye chama kimoja (Ccm)ata porojo hazisaidii Ccm lazima tuwapige chini.Nigeria imechagua mabadiliko majuzi hapa President Buhari ambaye miaka ya 1980s alikuwa raisi wa kijeshi wa Nigeria!!toeni pumbaz,CCM OUT
Mwalimu Jkn alikuwa cheo gani ktk serikali ya mkoloni.?
Dr alikuwa na cheo gani ktk serikali ya ccm?
Kuwa ktk uwanachama enzi za chama kimoja hakukutupa sifa za kuwa watumishi wa umma moja kwa moja.
Hata mm nilikuwa mwanachama wa TANU lakini sikuwa ni mtumishi wa umma kama walivyo kuwa wanachama wenzangu kina Luwasa na Sumai.
Leo hii mm naweza kusema serikali ya ccm haijafanya kitu nikawa na uhalali fulani lakini sio Luwasa na Sumai.
Ivi Luwasa na sumai wakisema serikali ya ccm haijafanya kitu kweli watakuwa na akili au sisi tunaowasikiliza ndio tutakuwa hatuna akili?
Maneno haya ya wanayo yasema kina Sumai na Luwasa kuwa ccm hajafanya kitu wangewaachia kuyasema kina Mbowe,Gwajima, Mwingira,Lisu,Mnyika na wengine aina hiyo sio Luwasa na Sumai.
Huwezikuwa na watu wageni 100%na ukaongoza Serikali siyo mchezo,Ok kawatafute wageni Act Wazalendo sisi tumependa Ukawa...CCM OUT
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.
Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.
Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Usiruke ruke tulia soma nilicho andika jibu nilio yauliza jenga hoja yako uliza maswali yako ndio mjadala utakuwa mzuri.
Ccm ikiwa aut au in hilo ni lingine.
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
Licha ya kasoro kadhaa, Moi anabakia kuwa rais bora kuliko wote waliowahi kuongoza Kenya. Hadi sasa ni unmatched.Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
Licha ya kasoro kadhaa, Moi anabakia kuwa rais bora kuliko wote waliowahi kuongoza Kenya. Hadi sasa ni unmatched.
Bado muda wa ccm kutoka haujafika na bado hamujapata watu wakuitoa ccm.
Luwasa na Sumai hawana uwezo hata kidogo wa kuingona ccm.
ccm ilizaliwa mwaka 1977 mpaka leo ni miaka 50. revisit your math mkuu.