Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Umesahau kipindi lowassa alipokua waziri mkuu watu walivyokua wanafanya kazi kama kipindi cha utawala wa Mao Tse Tang The Dong wa Chinese baada ya revolution ya 1948
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.
Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.
Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Tratibu na kauli zako. Hamna mwenye Mkataba na Mungu. Kamba ya zamani hukatika na kamba jipya pia hukatika. au wewe una mkataba na Mungu? Sisi sote ni marehemu watarajiwa na kila mmoja mdogo kwa mkubwa, mzima au mwenye afya huondoka zamu yake ikifika.Sio kweli. Wapo watu wazuri na wengi ambao hawajawahi kuhusiana na madaraka ndani ya ccm. Dr. Slaa mmoja wapo na hakuwahi kushika madaraka serikalini au CCM. Lakini mbowe kaona pesa za ED Lowassa akampapatikia akaachana na M4C Dr. Slaa. Bahati mbaya Lowassa amegundulika kuwa ni JENEZA LINALOTEMBEA na sasa wala hawezi tena kukampeni. Akitoa tu hotuba atabakisa wiki badala ya miezi.
Tratibu na kauli zako. Hamna mwenye Mkataba na Mungu. Kamba ya zamani hukatika na kamba jipya pia hukatika. au wewe una mkataba na Mungu? Sisi sote ni marehemu watarajiwa na kila mmoja mdogo kwa mkubwa, mzima au mwenye afya huondoka zamu yake ikifika.
Pia Watanzania hawahitaji propaganda, wanahitaji sera kuwa miaka 50 CCM ilifanya nini, walijikwaa wapi, wana mikakati gani kuwahakikishia kuwa hawatajikwaa tena na wanataka kuwafanyia nini Watanzania wakipewa ridhaa tena. Siyo porojo ooh huyu mgonjwa, ooh huyu mwizi n.k. Kama ni mwizi CCM si bado wana serikali serikali, Kwa nini wasiwashughulikie?
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.
Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.
Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.
Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.
Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Kama kigezo ni muda, ccm ina miaka zaidi ya 50!!!!,
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
Cha ajabu zaidi hata yule aliyekaa kwenye wadhifa huo kwa miaka 10 bado anahamu ya kuingia tena madarakani sijui amesahau nini huyu
Sawa Kenya walimchagua Mwai Kibaki. Je? Mwai Kibaki alifanya kipi ambacho ni outstanding na remarkable ambacho kinaweza kukumbukwa Kenya. Wekenya wengi wanadai wanamkumbuka Mwai Kibaki kwa kuletaWakati KANU inakufa Kenya walichagua mpinzani Mwai Kibaki ambaye alishakuwa makamu wa raisi wa Moi,huwezikupata watu wapya kabisa kwenye siasa tunachotaka ni kuutoa mfumo wa CCM basi.CCM OUT
Hata hivyo CCM iondoke tu. Hao wameshakuja na kuongozwa sala ya toba na kuingia katika gari la mabadiliko. Hata angekuwa Mkapa ilimradi anaongoza kuuondoa mfumo huu mbovu angeshabikiwa tu. Pole gamba
Tunawataka haohao
Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka CCM.
Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka CCM, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza.
Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowassa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Sawa Kenya walimchagua Mwai Kibaki. Je? Mwai Kibaki alifanya kipi ambacho ni outstanding na remarkable ambacho kinaweza kukumbukwa Kenya. Wekenya wengi wanadai wanamkumbuka Mwai Kibaki kwa kuleta
machafuko baada ya kuboronga katika uongozi wake. Kama Lowassa na Sumaye walishindwa kufanya chochote ambacho unaweza ukakitaja kwa kujivuna na wakati huo walikuwa bado wana nguvu almost kama vijana wataweza vipi? wakati huu wa uzee. Biology inasema ivi mtu anapozeeka performance ya ubongo wake inashuka.
Wakati KANU inakufa Kenya walichagua mpinzani Mwai Kibaki ambaye alishakuwa makamu wa raisi wa Moi,huwezikupata watu wapya kabisa kwenye siasa tunachotaka ni kuutoa mfumo wa CCM basi.CCM OUT