Mgombea wa UKAWA ni nani? Mjadilini huyo kwanza, ya CCM tuachieni tutawatangazia, tunajua mna shauku sana ya kumjua mgombea wa CCM maana akishapitishwa ndio Rais huyo!
Nahodha katangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania, Chikawe pia na Lukuvi kutangaza muda wowote,
Lakini Jk anamtaka Makongoro Nyerere, Aliposema anatoka kwa majaji. Maana yake ni mume wa Jaji, taarifa toka viunga vya ikulu zinathibisha,
Japo ni siri ila ndio mpango mzima,Hapo ndo utaona vita ya Lowasa na Membe ni kivuli tu bila wao kujua, vita halisi ya wazi wazi itakuwa soon kati ya Lowasa na Makongoro. Na kati hilo Makongoro atawin.
Huu ni mkakati na shinikizo la Marais wa nje ya Tz (Afrika), Ili iwe rahisi nao kuwapa watoto wao huko mbeleni waki ref ya Uhuru, Makongoro na Karume,
Ni mkakati mzito sana, na malengo ya kesho nikuwa hata Ridhiwan akitaka isiwe ajabu, Wamefocus mbali zaidi mnavyoweza kuwaza.
Kabla ya Mtu, kulikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, kuna Mtu
Kadanganye watoto wenzako huko.
CCM isake madaraka ya nini? Wakati tayari iko madarakani?CCM ya sasa ni wasaka tonge a.k.a wasaka madaraka yaani hawana jipya watanzania wa sasa ni wajanja na wanaelewa nini mnachofanya...
Makongoro Nyerere hawezi kuwa Chaguo la JK hata siku moja kwani Jk anamjua vyema makongoro si Mtu wa kumkabidhi Nchi hana sifa hata moja, marehemu baba yake alikufa na kipawa chake Watoto wake wote hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuitetea hoja na Uadilifu wa kutosha, makongoro nje ya Ubunge Tabia zake za Mtaani ni mbovu sana kwanza ni mlevi pili ni mpenda Michechepuko Sana tatu siasa hajui.
Ukimpenda mtu kwa sababu ya sura yake basi nenda kanywe naye chai - JK NYERERE .
AlaaaNahodha katangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania, Chikawe pia na Lukuvi kutangaza muda wowote,
Lakini Jk anamtaka Makongoro Nyerere, Aliposema anatoka kwa majaji. Maana yake ni mume wa Jaji, taarifa toka viunga vya ikulu zinathibisha,
Japo ni siri ila ndio mpango mzima,Hapo ndo utaona vita ya Lowasa na Membe ni kivuli tu bila wao kujua, vita halisi ya wazi wazi itakuwa soon kati ya Lowasa na Makongoro. Na kati hilo Makongoro atawin.
Huu ni mkakati na shinikizo la Marais wa nje ya Tz (Afrika), Ili iwe rahisi nao kuwapa watoto wao huko mbeleni waki ref ya Uhuru, Makongoro na Karume,
Ni mkakati mzito sana, na malengo ya kesho nikuwa hata Ridhiwan akitaka isiwe ajabu, Wamefocus mbali zaidi mnavyoweza kuwaza.
Kabla ya Mtu, kulikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, kuna Mtu
YerickoNahodha katangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania, Chikawe pia na Lukuvi kutangaza muda wowote,