Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
Nadhani unamaanisha picha hii. Ama sivyo?
View attachment 186890
Hii zuga kabisa. Mtawapata wajinga sio sisi.
Nadhani unamaanisha picha hii. Ama sivyo?
View attachment 186890
Mkuu, kule tunashirikiana ila kwa hapa hatupo pamoja. Samahani lakini
Sawa Lowassa humpendi, mwambie Mamaako akimbie yeye ili umtowe mbele na nyuma
Ebu nitajieni gym anayoendaga lowassa nikapige picha
Chabruma, njoo huku funza anakunyemelea
Hujakosea kwani ht manzese pia ni eneo moja wapo LA tanzania
Wewe unazungumzia habari ipi ya kuwachafua watanzana? Uliiona hiyo picha kwenye hilo gazeti? Ni kwa vipi inawachafua watanzania?Mwananchi na Citizen ni magazeti ya Wakenya, na mara zote wana ichafua Tanzania, tusisome ili tusimuunge mkono adui
Kweli kaka hauna kazi, ndio maana hata profile yako hapo inaonesha umeingia JF May, 2014 lakin hadi sasa una posts 928, wakati wakongwe tupo humu hata post 100 ni kwa tabu sana.
Njoo unipige nami picha uibandike
lowasa anakimbia kilometa kumi.kila siku
Mkuu, kule tunashirikiana ila kwa hapa hatupo pamoja. Samahani lakini
Ni aibu sana kwa MREKEBISHARIKA na mada aliyoianzisha.Ukisoma tu unajua,jamaa kaandika huku akionyesha dhahiri kuwa upande wa Membe.Asante mkuu kwa kuweka mambo sawa,ni aibu sana kwa mtu mzima,si ajabu anafamilia kuendekeza njaa kiasi hiki,huyu njaa yake kaibebea kwenye mfuko wa plastiki,shame on you MREKEBISHARIKAMwananchi linamwandika kila mmoja bila ushabiki. hata hiyo ya Membe unayonukuu iliandikwa na Mwananchi. na huu mjadala ni kwa sababu picha ile ilikuwa habari kubwa.
Mkuu Ikwete, asante kwa kunipatia ajira ya uhudumu!, mwanzo niliitwa mshabiki wa huyu jamaa, kisha nikaitwa mfuasi!, sasa nimeajiriwa kabisa na kuwa mhudumu?!.Mhudumu wake ndugu Pasco amelifafanua hili mara kibao hapa jf
Support ya akina nani? Acha kujipendekeza wewe