Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

Mkuu, kule tunashirikiana ila kwa hapa hatupo pamoja. Samahani lakini

...muwekane wazi nani ccm nyundo nani ccm jembe na nani ccm maslai. Ila sisi kwa ujumla tunawajua wote ni genge la majambawazi tu....
 
Ebu nitajieni gym anayoendaga lowassa nikapige picha

Kweli kaka hauna kazi, ndio maana hata profile yako hapo inaonesha umeingia JF May, 2014 lakin hadi sasa una posts 928, wakati wakongwe tupo humu hata post 100 ni kwa tabu sana.

Njoo unipige nami picha uibandike
 
Jengeni hoja zenye mshiko eti kikombe chai akishike kwenda nacho wapi?afya ya mtu unaijuwaje?Kucheki afya siyo tatizo ni utaratibu tu kama kiongozi alivyojiwekea kwenda ujerumani mbona mwalimu nyerere alikuwa anakwenda kuchekiwa afya uingereza.kwasasa maji yako shingoni mnatapatapa mtafanya kila kashifa kila mbinu lakini mwendo mdundo mpaka magogoni......na bado endeleeni kutumwa lakini iko siku mtatumwa visivyo tumwa..
 
Mwananchi na Citizen ni magazeti ya Wakenya, na mara zote wana ichafua Tanzania, tusisome ili tusimuunge mkono adui
Wewe unazungumzia habari ipi ya kuwachafua watanzana? Uliiona hiyo picha kwenye hilo gazeti? Ni kwa vipi inawachafua watanzania?
 
Kweli kaka hauna kazi, ndio maana hata profile yako hapo inaonesha umeingia JF May, 2014 lakin hadi sasa una posts 928, wakati wakongwe tupo humu hata post 100 ni kwa tabu sana.

Njoo unipige nami picha uibandike

Mimi nimejiajiri sijaajiriwa.kila siku utaniona hapa
 
Mwananchi linamwandika kila mmoja bila ushabiki. hata hiyo ya Membe unayonukuu iliandikwa na Mwananchi. na huu mjadala ni kwa sababu picha ile ilikuwa habari kubwa.
Ni aibu sana kwa MREKEBISHARIKA na mada aliyoianzisha.Ukisoma tu unajua,jamaa kaandika huku akionyesha dhahiri kuwa upande wa Membe.Asante mkuu kwa kuweka mambo sawa,ni aibu sana kwa mtu mzima,si ajabu anafamilia kuendekeza njaa kiasi hiki,huyu njaa yake kaibebea kwenye mfuko wa plastiki,shame on you MREKEBISHARIKA
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na ngonjera zote hizi za kumchafua kisiasa Edward Lowasa.....Mtoa mada fanya ka research kadogo tu ukiwa unasafiri popote kwa kutumia daladala au basi za mikoani anzisha mada za siasa za nchini kwetu kisha gusia suala la urais 2015 usikie kwa masikio yako jinsi watu wanavyomkubali Lowasa...!!!
 
Mhudumu wake ndugu Pasco amelifafanua hili mara kibao hapa jf
Mkuu Ikwete, asante kwa kunipatia ajira ya uhudumu!, mwanzo niliitwa mshabiki wa huyu jamaa, kisha nikaitwa mfuasi!, sasa nimeajiriwa kabisa na kuwa mhudumu?!.

Kwa vile mimi ni jobless, naombea duwa zako ziwe za kheri!, mdomo huumba, na kauli huumba, hili uliniombea naiwe come 2015!.

Pasco
 
Najiuliza kila siku sipati jibu! hivi ni kwanini wahuni wengi wa CCM wanahofu na Lowassa?! ila watanzania wenye uchungu na nchi yao bila kujali itikadi zao kisiasa wanamkubali Lowassa japo wapinzani wengi huwa tunalisemea hili kimoyomoyo! Je hawa wanaomchafua Lowassa ni kwasababu ya kashifa ya ufisadi?! alipokua waziri mkuu mbona utendaji wake ulikua mzuri japo kwa upande mwingine haukua kwa viongozi wazembe; wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali hapa nchini wanalijua hili wakati wa uongozi wa Lowassa. Sasa najiuliza tena; kama Lowasa alifanya ufisadi, inamaana Kikwete hakulitambua hilo au walishirikiana maana walikua karibu sana kiutendaji na kiurafiki pia.
 
Back
Top Bottom