Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,191
- 8,260
Huyo BAK ni njaa tu. Wakati huo alikuwa mpingaji mzuri wa Lowassa, sasa hivi anamlamba viatu
Njaa kitu kibaya sana Mkuu. Mtu anakula matapishi yake.
-Kaveli-
Huyo BAK ni njaa tu. Wakati huo alikuwa mpingaji mzuri wa Lowassa, sasa hivi anamlamba viatu
Huyo jamaa siku hizi kawa mpambe mkubwa sana wa Lowassa.
FYI I am doing this for the passion to my beloved country. I have never gain even a single cent on my contribution on this forum or any other forum. Usiwe na mawazo finyu bro kwamba mtu anapoipigania nchi yake ni lazima kuwe na monetary benefits.
Ningetaka kuneemeka basi nami ningefuata nyayo za msaliti Mwanakijiji ili nipate ukuu wa mkoa kwa kumpigia debe dikteta uchwara.
Kama huyu asiyetaka kujaribiwa, kapiga marufuku mikutano na maandamano ya wapinzani kwa kujificha nyuma ya mgongo wa polisiccm na ana ushahidi wa ufisadi wa Lowassa ni kipi kinamshinda huyu kumkamata na kumpandisha kizimbani!? Hapo mie ndiyo namshangaa huyu aliyejitoa kafara kupambana na mafisadi.
Hauna huo uwezo wa kuneemeka na kupata Ukuu wa Mkoa siyo kila mtu anayepigia debe anachukuliwa, wewe hata kama ukiipigia debe CCM hakuna wa kukuchukuwa kwa maana uwezo wako ni mdogo wa kuchanganua mambo ona sasa unavyosutwa hapa unatapa tapa kama mtoto aliyeshikwa anadokoa Mboga!
AF kama usaliti ni nani kati ya CCM na CHADEMA walioisaliti nchi hii zaidi!? Kumbuka EPA, Escrow, Kagoda, Meremeta, mikataba ya rasilimali, IPTL, Rada, Kiwira Coal mining, Lugumi, UDA, Pride, Tokomeza n.k. na hatusahau kulivua gamba hebu nitajie ufisadi mmoja tu wa CHADEMA. Mie kuunga mkono CHADEMA si kwa sababu ya mtu huyu au yule bali ni sera za chama.
Sasa AF CCM wamekusaliti mara ngapi!? Mbona bado umeng'ang'ana!?
Kumbuka ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, Kilimo kwanza, Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Zote hizi zilikuwa ni ahadi hewa, ni lini utawarudishia likadi lao na kuangalia ustaarabu mwingine!?
Duh, Babu AK hafai kuaminika, kawa chameleon! kinyongaaaaaaaaaa
Siyo fisadi! PeriodHayo unayoyaongelea yamefanyika pia wakati Lowassa akiwa ndani ya serikali na ccm. Sasa Lowassa ni fisadi au siyo fisadi?
Mkuu umenichekesha sana, siasa zinawafanya watu wajitoe ufahamu.!Kwakweli inasikitisha sana.
Ndio mtu kama huyu sasa unajiuliza hata familia yake anaisimamiaje kama anakosa msimamo kwa mambo kama haya?
BAK bwana!! You guys have really invested in politics...and I guess it pays ....
View attachment 374145
Mkuu umenichekesha sana, siasa zinawafanya watu wajitoe ufahamu.!