Mwaka huu watajibebaSafi wao wamalizane wenyewe CCM ni kazi tu
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.
Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

mbona Samia nae haonekani?