Lowassa kuwashughulikia UVCCM waliomsema Dodoma

Naomba kufahamishwa KIZAZI KIPYA NDANI YA CCM KIKOJE?
MBELE YA UVCCM YA SASA INAYOPIGANIA SURA MPYA YA UADILIFU WA KIUONGOZI CCM:
LOWASSA NA RIDHIWANI KIKWETE HUENDA WAKAANGUKIA
PUA MIPANGO YAO DODOMA

Hiyo ni mapambano kati ya CCM-Ufisadi (Lowassa) na CCM-Bongo Flava (Malisa) ambao ndio kwanza wanajinga kiringeni wakiwa na matumaini mapya mbele na wala wasingependa kuona wenye Gundu ka Rostam Aziz wakiwatia masizi kwa na namna yoyote ile.

Vita hivyo ni vya kwao wala haituhusu kitu ila sitoshangaa sana sehemu ya UVCCM ama waki-MAGUFULI barua zao za kujiuzulu au kuamua, sawa na mmbwa koko akibanwa ukutani, kumrudi Lowassa na Azizi kwa nguvu zote kuhakikisha jamaa hao hawakiui cha chao.

Lowassa angalia heshima ya mvi, vita na vijana usije ukaangukia pua; fedha hasa za wizi ulizonazo kamwe haziwezi kununua vijana wote Tanzania wakufuate.

Tunazo taarifa unavyokusudia kutumwagia vija hela ya kufa mtu tangu hapo 2014 na kuendele: pochi tutavuta kwa sana maana ni mali zetu na wewe utabaki solemba vile vile tangu ndani ya chama chako.

Kweli naomba sana Lowassa afaulu kuwa mgombe urais wa CCM ili kazi iwe nyepesi zaidi kwa CHADEMA!!!

Mkutano mwema Beno Malisa na kizazi kipya cha CCM!!
 
LOWASSA'S LONG-DEMONTRATED 'DOMINANT CHARACTER' HASTE AND GREED ON EVERYTHING IS SOON GOING TO TAKE 'THE LAST BREATH OF CCM'

UVCCM meeting will be both such a crucial turning point and game-changer for the ruling party's seldomly remaining political fortunes befall an ultimate BIG BANG given the most dangerous levels of 'private' zeal, haste and greed that CGH Edward Lowasa is currently championing!!!

Further analysis of what may follow after staring at post namber 13 MUST be considered by using twoo most reliable tools (i. SWOT-Analysis of the CCM of and a Lowassa the corner ...

... ii. a critical look of the entire circle of group formation - shared purpose, structres and direction in relation to the many phase of CCM under 1. Group Formation stages, 2. Group Storming, 3. Group Norming and the 4. Worst scenario Group Re-Calling stage) pale ndani na utajua kwa nini imekua necessary kutumika RUGARUGA MARCENARY kama Zitto Zuberi Kabwe, Kufulia, Mrema, Cheyo na ili vita vya mle ndani vishindwe kiaina.

Hakika ndani ya CCM kuna janga kubwa kuliko watu tunavyoweza kufikiri. Kule Dodoma itakua mchezo wa ama 'all fisadi system go or none', yes, your guess is just as good as mine, it will be a MAKE OR BRAKE between the UVCCM Have-Not-Progressive verses the UVCCM Well-to-do Political Heathens at play.

Go, go Benno Malisa, go!! Kuna wakati pesa hukosa thamani pale uadilifu unapojitokeza kuwa ndio bidhaa inayosakwa kote sokoni.

Go Malisa never be afraid of the cantankerous and the political banes in the picture of Lowassa, Nchimbi, Rostam Aziz and any other, go Malisa!!
 
Mimi nafurahia sana migogoro na migongano ndani ya CCM kwa sasa. Hii ni ISHARA NZURI KUWA HILI LICHAMA LA MAFISADI LAENDA KUFA KIFO CHA MENDE!!!!!!!!!!Ni ishara nzuri vilevile kuonyesha kuwa JKIWETE HAWEZI KUONGOZA SI KWA URAIS TU BAALI HATA U-M/KITI WA CHAMA CHAKE ANACHEMSHA VIBAYA SANA.

Wewe angalia migongano kama ya kina ROSTAM AZIZ V/S SITTA SAMWELI, LOWASA V/S SITTA,ROSTAM V/S MWAKYEMBE,UVCCM V/S LOWASA, UVCCM V/S SUMAYE,NA HII KALI KULIKO YA MIZENGO PINDA V/S JOHN POMBE MAGUFULI n.k na n.k

CCM HAKINA MUDA WATANZANIA TUTAKUWA TUNASHEREKEA KIFO CHA CCM IN A VERY NEAR FUTURE!!!

Dhahiri bin shahiri - hii misuguano ndani ya CCM naweza safely kusema kuwa inachagizwa kwa kiasi kikubwa na yale maandamano ya Chadema.

Kuna kamchango kangu nilikatoa huko nyuma humu ndani kuwa Chadema wasisubiri hadi April (ndivyo Mbowe alivyonukuliwa) kufanya maandamano mengine...they should keep the pressure on.....wasiwaachie hawa jamaa hata breathing space kwani wanaweza kujipanga upya kwa propaganda zao za miaka yote or as fate would dictate it!

Chadema...hit the damn iron while it's still damn hot!!
 
When the decree is made nobody can go against it for the king's word and His seal is true and Amen. The King of Glory has heard the prayers of the weak and afflicted who for many years have been used and bought at a no of price of Khanga and Tshirt. Its now for their time to rejoice! Whoever is seeing himself to be resembling, linked or associated to UFISADI should be assured that the rule of game is changed! The best advice I can give is for them to find an exit strategy and to be safe they better de-associate their bussinesses with political powers.

Says the voice in the wilderness!
 
Nimesikia hili jambo jana vile vile; EL inadaiwa hakufurahishwa kabisa na kitendo cha UVCCM tena Pwani kuweza kumtaja hata kwa jina. Inasemekana hao vijana wasingepata nguvu isipokuwa kutoka kwa Ridhiwani. Tusubiri hicho kikao chao cha kesho wanaweza kujikuta wanatimuana tena!

Mkuu pole kwa kupigwa vijembe, nasikia umekua gumzo ila we simamia msimamo wako achana na hao washika pembe, wanao mshikia RA anakamua. Go on
 
MM,

Kikao cha kesho kitafanyika kwa amani na utulivu. Vijana wameamua kuwakoromea mafisadi ndani ya CCM, na wanataka waondoke kwani kuwepo kwao ni mzigo mkubwa sana kisiasa. Yale ya Baraza la Vijana Mkoa wa Pwani ni rasha rasha tu, mvua yenyewe inakuja. Lets wait and see. Inshallah...
 
Mzee MM,

Kilichotokea baada ya kikao cha Baraza la vijana mkoa wa Pwani ni vitisho kupitia simu toka kwa watu mbali mbali wasiojulikana wakimtaka Katibu wa Mkoa wa Vijana atoe tamko kuwa yale yaliyosemwa ktk kikao halali cha Baraza ni mawazo binafsi ya M/kiti Ulega na sio maazimio ya Baraza. Kila dakika presha ilivyozidi ndivyo vijana walivyozidi kuwa wabishi, baadae Mzee Msekwa akaliweka sawa jambo lile ktk vyombo vya habari. Msekwa alisema, walichosema vijana wa CCM Pwani ni haki yao, hawajavunja Katiba. Kwa mshangao mkubwa sana, ktk gazeti la RAI la jana, limeripoti kuwa eti Martin Shigella anasema kuwa haamini kama ile kauli ilitamkwa na Ulega, huyu mtu ni wa ajabu sana.
 
Nimesikia hili jambo jana vile vile; EL inadaiwa hakufurahishwa kabisa na kitendo cha UVCCM tena Pwani kuweza kumtaja hata kwa jina. Inasemekana hao vijana wasingepata nguvu isipokuwa kutoka kwa Ridhiwani. Tusubiri hicho kikao chao cha kesho wanaweza kujikuta wanatimuana tena!

Du, Riz 1 noma yaani ameamua kumkaanga baba yake mdogo hivi hivi! Kweli mtoto wa nyoka hafundishwi kung'ata
 
Mzee MM,

Kilichotokea baada ya kikao cha Baraza la vijana mkoa wa Pwani ni vitisho kupitia simu toka kwa watu mbali mbali wasiojulikana wakimtaka Katibu wa Mkoa wa Vijana atoe tamko kuwa yale yaliyosemwa ktk kikao halali cha Baraza ni mawazo binafsi ya M/kiti Ulega na sio maazimio ya Baraza. Kila dakika presha ilivyozidi ndivyo vijana walivyozidi kuwa wabishi, baadae Mzee Msekwa akaliweka sawa jambo lile ktk vyombo vya habari. Msekwa alisema, walichosema vijana wa CCM Pwani ni haki yao, hawajavunja Katiba. Kwa mshangao mkubwa sana, ktk gazeti la RAI la jana, limeripoti kuwa eti Martin Shigella anasema kuwa haamini kama ile kauli ilitamkwa na Ulega, huyu mtu ni wa ajabu sana.

Mkuu uko sahihi. Huyo Shigella ambaye leo analipa fadhila za land curiser aliyopewa na mafisadi lakini sasa ameanza na mguu mbaya maana hana mamlaka juu ya maamuzi ya mkoa wa pwani ambao wana haki ya kuzungumza lile ambalo wanaliona kuwa ni la msingi kwa mustakabali wa nchi na wananchi wao. Wanachoshindwa kuelewa mafisadi ni kwamba wao ni kama nguo iliyochanika ambayo kila ukishona huku, kwingine kunaachia. Wajiandae kuona yale wasiyoyatarajia na ndugu yetu Shigella namhurumia maana atatoa makemeo kama hayo na atachoka na watu wote wenye akili zao watajua wazi kwamba kijana huyu anawiwa na hiyo ndiyo njia harama ya kulipa madeni hayo.
 
When the decree is made nobody can go against it for the king's word and His seal is true and Amen. The King of Glory has heard the prayers of the weak and afflicted who for many years have been used and bought at a no of price of Khanga and Tshirt. Its now for their time to rejoice! Whoever is seeing himself to be resembling, linked or associated to UFISADI should be assured that the rule of game is changed! The best advice I can give is for them to find an exit strategy and to be safe they better de-associate their bussinesses with political powers.

Says the voice in the wilderness!
... but will anyone out there ever LISTEN to your most passionate and so patriotic a call into a practical fruitation???
 
... but will anyone out there ever LISTEN to your most passionate and so patriotic a call into a practical fruitation???

At least you would be here to testify lest they say they're never warned; keep on watching and see!
 
Mkuu uko sahihi. Huyo Shigella ambaye leo analipa fadhila za land curiser aliyopewa na mafisadi lakini sasa ameanza na mguu mbaya maana hana mamlaka juu ya maamuzi ya mkoa wa pwani ambao wana haki ya kuzungumza lile ambalo wanaliona kuwa ni la msingi kwa mustakabali wa nchi na wananchi wao. Wanachoshindwa kuelewa mafisadi ni kwamba wao ni kama nguo iliyochanika ambayo kila ukishona huku, kwingine kunaachia. Wajiandae kuona yale wasiyoyatarajia na ndugu yetu Shigella namhurumia maana atatoa makemeo kama hayo na atachoka na watu wote wenye akili zao watajua wazi kwamba kijana huyu anawiwa na hiyo ndiyo njia harama ya kulipa madeni hayo.
Ushauri wangu bado ule ule,, kwa mtu aliyejineemesha kama Lowassa, halafu watanzania bado wanamheshimu na kuwa na subira kiasi hiki,, angesoma alama za nyakati,, akala hela yake kiulaini na kwa amani kwa KUTOGOMBEA NA KUACHA SIASA KABISA
 
kama habari hii ni ya uhakika kwa kweli sasa naelekea kuamini kuwa lowassa ni sikio la kufa na halisikii dawa.
inaonesha anautaka urais kwa hali na mali.na yoyote atakae simama mbele yake atahakikisha anamwondoa.
nina imani kuwa watanzania wameamka vya kutosha na kutompa nafasi mwivi huyu mwenye tamaa ya madaraka na mali akamate nchi
 
Ushauri wangu bado ule ule,, kwa mtu aliyejineemesha kama Lowassa, halafu watanzania bado wanamheshimu na kuwa na subira kiasi hiki,, angesoma alama za nyakati,, akala hela yake kiulaini na kwa amani kwa KUTOGOMBEA NA KUACHA SIASA KABISA
Uzoefu unatuhabarisha kwamba jambazi hata akivunja benki na kuiba mamilioni ya hela toka mahala, hapo ndio kwanzu wanapanda mori ya kutamani kwenda kupora zaidi hivyo kitendo cha mmasai pekee mwizi Lowassa kurukaruka kwa hamu ya uporaji zaidi wa kodi zetu, hadi kichwa kugusa dari na mdo mo wake kutoka povu, wala haijanistua chochote kitu hapa!!

Cha msingi tumtafutie tu SOKONOI endapo tumbo litamvimba ila urais wa Tanzania atausikia tu Radio Tanzania Dar es slaam ikitangaza wapiganaji wapya wa nchi hii wakishika dola na wa si hata Zitto wake wala Mbatia.
 
Back
Top Bottom