Lowassa kuwa spika

Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni

Mkuu kuna habari kutoka utatani kuwa Lowasa anataka kugombea Urais. Kuna mbinu wanataka kuitumia kumbwaga JK ambayo watanzania wote tutabaki midomo wazi.

Ndiyo maana unaona JK kawatonya TAKUKURU wajiandae.......wajiandae na ............

Kwa ruhusa yako mkuu tutamwaga data hapa za namna fedha, vyama vya siasa na hujuma zinavyopangwa kuhakikisha Lowasa anaukwaa urais. Kumbuka tu huyu mtu alipingwa na Hayati baba wa Taifa lakini bado akaja kuwa waziri mkuu na wabongo wenzangu wengi tu mkapiga makofi sana siku ya uteuzi wake.

Pia kuwadokezea tu, kuna redio mbao imewahi kuripoti kuwa JK amewahi kutia sahihi MOU(memorundum of understanding) na wanamtandao, kuwa JK angeongoza miaka mitano tu, kisha angemwachia mmasai wa kichina........sasa kimbembe kinaanzia hapa.......pesa ya mganga.....................?????!!!!~~~>>
 
Taratibu jamani mtatutia pressure

jamani...wewe wala pressure isikupate manake hili lian wenyewe wanaopata presha binamu! lol

au na wewe una jimbo lako umeshaliona na unataka kuita press conference?
 
yawezekana wadau ujue ndani ya ccm lowasa (jacob zuma) uwezo huo anao waambiwa jk mwenyewe anamwogopa kichama jamaa anawafuasi kuliko mtu mwingine yawezekana wadau. hilo neno
 
Ohh!!.. I can't believe men! hw it w'd be.But waswahil wanalonga 'umdhaniaye ndiye kumbe siye'
 
Mkuu kuna habari kutoka utatani kuwa Lowasa anataka kugombea Urais. Kuna mbinu wanataka kuitumia kumbwaga JK ambayo watanzania wote tutabaki midomo wazi.

Ndiyo maana unaona JK kawatonya TAKUKURU wajiandae.......wajiandae na ............

Kwa ruhusa yako mkuu tutamwaga data hapa za namna fedha, vyama vya siasa na hujuma zinavyopangwa kuhakikisha Lowasa anaukwaa urais. Kumbuka tu huyu mtu alipingwa na Hayati baba wa Taifa lakini bado akaja kuwa waziri mkuu na wabongo wenzangu wengi tu mkapiga makofi sana siku ya uteuzi wake.

Pia kuwadokezea tu, kuna redio mbao imewahi kuripoti kuwa JK amewahi kutia sahihi MOU(memorundum of understanding) na wanamtandao, kuwa JK angeongoza miaka mitano tu, kisha angemwachia mmasai wa kichina........sasa kimbembe kinaanzia hapa.......pesa ya mganga.....................?????!!!!~~~>>

hii inaonyesha ni jinsi gani huyu ndugu alivyojipanga. So akitaka urais ama uspika kwake sio ishu. Kama akiwa mgombea wa urais ccm basi nchi itaongozwa na upinzani ila uspika ana uwezo wa kuupata
 
hii inaonyesha ni jinsi gani huyu ndugu alivyojipanga. So akitaka urais ama uspika kwake sio ishu. Kama akiwa mgombea wa urais ccm basi nchi itaongozwa na upinzani ila uspika ana uwezo wa kuupata

Hapa ndiyo kwenye kitendawili.....???? tega...CC...malizia!!! em !umekosea

nipe mji......nenda dodoma...sitaki......nenda Dar es salaam....nakubali..Jay......Jaydee?? hapana CC.....
 
Kama hii ni tetesi nakubaliana kabisa ila EL kuwa spika ni sawa na nchi hii kutekwa na mafisadi - na vita tuliyoiita ya mafisadi itakuwa imekufa kifo cha mende miguu juu - then RA, Chenge na Karamagi watarudi kwa kasi ya ajabu.

Hii haitawezekana, EL, RA, Chenge, Karamagi they dont have chance tena kuongoza nchi hii au kushika nyadhifa za juu ya uongozi wa taifa letu kwa sababu ya kasfa zao, come rain come sunshine Lowassa hawezi kuwa spika wa bunge la tz.

kama kweli akiwa spika - nitakwenda kuishi kwa kagame - sababu sitaki aibu tutaonekana wote sisi watu wa ajabu sana - i dont want to be one of them.
 
Sitashangaa kwake kuchaguliwa na itakuwa ni mwisho wa demokrasia na miongozo ya Bunge. Naamini kila jambo ambalo litakuwa na maslahi kwake na washirika wake ndiyo litapewa kipaumbele na kupitishwa. Tanzania na watanzania wazalendo hoi taabani, ICU.
 
Kwa taharifa yenu EL nautaka u'president
Uspika kwake ni nafasi ndogo sanaa.
 
Hapa ndiyo kwenye kitendawili.....???? tega...CC...malizia!!! em !umekosea

nipe mji......nenda dodoma...sitaki......nenda Dar es salaam....nakubali..Jay......Jaydee?? hapana CC.....

mkuu, ccj nao wanatuchanganya. Labda tuwasikilizie
 
Watanzania tuwe makini sana, EL akiwa rais RA waziri wa fedha, Karamagi waziri wa viwanda na biashara, AC waziri Mkuu, Simba waziri wa utalii. Watanzania tutapona hapo kwenye hiyo timu? kaaazi kwelikweli?
 
Spika wa bunge lipi? Kama la bongo asahau, kwanza aestablish kama atashinda ubunge au asuburi ubunge wa kuteuliwa au viti maalum vya walioshindwa!

fikiria kabla hujasema.ya RICHMOND kaigaragaza serikali na hao wanaojiita wapiganaji,itakuwa u SPIKA??akiutaka ataupata tu..but his level is to be a president...YES I SAID IT..he deserve to be a President
 
Its true but his presidency rests only in his family over his children and wife but never to all the Tanzanians. Come what may as long as God exists and lives, We pray hard that never will he become. We are even ready to pray over the novena such that he doesn't become!
 
Akiutaka urais ataishia kama tluway tu. Hawezi hata apandishe mori
 
Edward Ngoyai Lowasa for Speaker ?
Nice move na ninamuunga mkono maana jamaa yuko tayari kuongoza na ni mwenye maono na kaba ya kiuongozi, kama si yeye namuona Marmo kama mzoefu zaidi na hulka za kibunge.
 
labda marmo aisee ila si ngoyay. Na kama akiwa yeye basi wapinzani wajiandae kuongeza nafasi bungeni ili kuzima hoja zake
 
Back
Top Bottom