Lowassa kuua ndege wawili kwa jiwe moja?

Lowassa kuua ndege wawili kwa jiwe moja?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
lowassa amewashika pabaya wanachama wa vyama viwili hasimu nchini.

Moja
kwa ccm huyu jamaa amewekeza kwa wajumbe wengi iki wampitishe kugombea urais,kamati kuu ikimtosa basi ccm itakuwa vipande vipande.hili ni tishio dhahiri.Nadhani kamati kuu inaogopa kumpitisha kwani chadema yaweza kutumia kampeni dhidi ya ufisadi kumuangusha mwaka 2015.
Pia kambi za sitta,mwakyembe na membe zitachukia na kukimega chama hapo 2015.

Pili
kwa upande wa chadema mheshimiwa huyu amewahakikishia kuwa akitoswa na kk ya ccm basi ataingia chadema na washirika wake kutoka ccm na hivyo kuihakikishia chadema ushindi 2015,tujikumbushe ile kauli ya 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm'
Kimsingi chadema kama kilivyo vyama vyote vya siasa kina lengo la kushika madaraka kwa njia yoyote ile halali au hata ikibidi iwe haramu.kuungwa mkono na mtu mwenye nguvu ndani ya ccm ni karata muhimu sana katika kushika dola.

Anachokifanya lowassa kwa sasa ni vitu viwili...

Kuitishia ccm kwamba 'msinipopitisha nitahama chadema'

Pia kuwahaidi wanachadema kuwa ccm wakimtosa basi atagombea na kuiingiza chadema madarakani,ataserve kipindi chake na kuwaachia dola!

Hii karata ya lowassa nailinganisha na kuua ndege wawili kwa jiwe moja.

Mods tuache tujadili hii siasa !

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ma Presdent is Lowasaaaaaaaaaaaaaaaa vote for Lowasa 2015
 
Mada tamu hii 😉

Ngoja niivutie pumzi 🙂
 
Me najua siasa ni mchezo hatari san leo hii unaweza ona cdm wanamnanga kwa ufisadi, lakin hapo hapo ukumbuke lowasa hajawahi amka aseme kuhusu mkulu alivyoshirika kukwatua hayo ma pesa.

anachoweza fanya lowasa ni kumlipua mkulu tu na sera ya ya ufisadi ikayeyuka taaratibu.

Pia ukumbuke haya yatatoka na nyaraka nyeti kabisa so nasema hivii cdm wanaweza mpokea vizuriiii sana.
 
Lowassa ana tamaa tu ya kuishi magogoni lakini system ndio inayomuweka mtu madarakani na sio chama wala cc kwani mwaka 1995 cc ya Ccm haikuwa inamfahamu Mkapa lakini ndie aliyekuwa Rais wa 3. Lakini Lowassa afya yake ina dhoofu kila siku hata kama anapata kampani kubwa kutoka kwa Rostam na harambee zao za kuungwa mkono na marafiki ni strategies za kizamani kidogo
 
dah huyu jamaa mwenyewe najikuta namkubali bila sababu kutokana na stratege zake ni tofauti sana na sitta,sumaye watu wa kulalamika hawataji watawafanyia nini watanzania ,membe kakalia mipasho kuwa anangojea kuoteshwa full taarabu za pwani.......2015,kamari mjini ni kati ya slaa au lowasa,nilioteshwa lowasa amemzidi sana slaa katibu wangu kweny mdahalo pale lowasa alipomjibu kuwa kafanya mengi kuanzisha na kuwezesha ajira kwenye bodaboda,kuchangia harambee nyingi kama saccoss za waalimu tanzania was my dream kuwa lowasa alienda na projector na cd kwenye mdahalo wa urais akatuangusha chadema.pls naomba chama changu chadema now days tubadilishe siasa kwenda kwenye political economy ambayo inamgusa mwananchi tuondokane na siasa za political propaganda ambazo mpaka sasa ndio maana gap analowapiga wenzie akina sitta ccm.....propaganda ilikuwa zamani now dayz ukimweleza mtanzania maisha bora kwa kila mtanzania utapopolewa mawe people wana hasira mbaya kabisa
 
Siamini Lowassa ni mtiifu kwa chama chake na hasa ukizingatia cdm ni marehemu mtarajiwa ikifika April watakuwa wanapulia mashine
 
Lowassa ana tamaa tu ya kuishi magogoni lakini system ndio inayomuweka mtu madarakani na sio chama wala cc kwani mwaka 1995 cc ya Ccm haikuwa inamfahamu Mkapa lakini ndie aliyekuwa Rais wa 3. Lakini Lowassa afya yake ina dhoofu kila siku hata kama anapata kampani kubwa kutoka kwa Rostam na harambee zao za kuungwa mkono na marafiki ni strategies za kizamani kidogo

Ukiongelea system ninakushangaa!
Kama system ipo katika zama hizi tulizonazo basi chadema ingepewa nchi 2010!hata hivyo sioni kwa nini system haikufanya kazi yake dhidi ya JK?
Sielewi kwa nini system imeshindwa kuzuia kuvunjwa kwa baraza la mawaziri mara kadhaa!yaani system imekosea mara kadhaa!
Kuhusu suala la afya ya lowassa yaweza kuwa hoja lakini kwa nini hujiulizi hii sio issue inayotumika kumdhibiti lowassa kwa sasa?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndg, ni saidieni nielewe! Lowasa anahusishwa vp kuongoza nchi wakati aliondoka madarakani kwa kashfa ya ufisadi (Rich)?
 
Kumdhibiti Lowassa kwasasa asiendelee na harakati zake haihitaji elimu ya form 2 ni issue ya kawaida tu. CHADEMA haina system hio unayodhani wewee na kama mnadhani ipo ni kwa ajili ya kuibomoa zaidi na sio kuijenga. Take my words

System nnayo maanisha mimi ni hasa Idara ile ya Usalama na imeshindikana nyakati hizi sababu Mkurugenzi wa Idara na JK ni kama walipishana upepo kwenye mambo kadhaa ya kiutendaji na ndio maana umeona kama kaachiwa zigo alibebe mwenyewee.... ni issue ndefu na kubwa lakini kwa uchache ni hivyo tu
 
Nduggu zangu naulizaje? Kwa nini ninampenda, ninamwamini na kumkubali Lowassa? Yaani ametuingia rohoni.
 
Kumdhibiti Lowassa kwasasa asiendelee na harakati zake haihitaji elimu ya form 2 ni issue ya kawaida tu. CHADEMA haina system hio unayodhani wewee na kama mnadhani ipo ni kwa ajili ya kuibomoa zaidi na sio kuijenga. Take my words

System nnayo maanisha mimi ni hasa Idara ile ya Usalama na imeshindikana nyakati hizi sababu Mkurugenzi wa Idara na JK ni kama walipishana upepo kwenye mambo kadhaa ya kiutendaji na ndio maana umeona kama kaachiwa zigo alibebe mwenyewee.... ni issue ndefu na kubwa lakini kwa uchache ni hivyo tu

mkuu kumbuka kauli hii ya ...watu hawa wawili yaani JK na EL hawakukutana barabarani!unaielewa maana yake?
JK anaweza kushindwa kumtosa EL kwa sababu mbili,moja inawezekana EL ana siri nzito za kumblackmail JK ...au anaweza kumuhakikshia JK 'usalama' baada ya kutoka ikulu...yaani asihukumiwe kwa yaliyo na yanayoendelea kutokea!
Unataka tuamini JK alimtosa EL au EL alijtosa kumuokoa JK?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom