Hata Zuma Jacob aliwekwa papaya kwa ufisadi na akawa Rais mpaka sasa.Ndg, ni saidieni nielewe! Lowasa anahusishwa vp kuongoza nchi wakati aliondoka madarakani kwa kashfa ya ufisadi (Rich)?
Hata Zuma Jacob aliwekwa papaya kwa ufisadi na akawa Rais mpaka sasa.Ndg, ni saidieni nielewe! Lowasa anahusishwa vp kuongoza nchi wakati aliondoka madarakani kwa kashfa ya ufisadi (Rich)?
awe kuptia ccm..chadema..nccr au ata dp party au mgombea bnafsi rais wangu ni lowasa 2015
Jingalao haya ni mawazo yako. Sidhani kuwa CCM ni dhaiofu kiasi cha kutishwa hivyo, na wala sidhani kuwa CDM wanamuwania EL ki hivyo!lowassa amewashika pabaya wanachama wa vyama viwili hasimu nchini.
Moja
kwa ccm huyu jamaa amewekeza kwa wajumbe wengi iki wampitishe kugombea urais,kamati kuu ikimtosa basi ccm itakuwa vipande vipande.hili ni tishio dhahiri.Nadhani kamati kuu inaogopa kumpitisha kwani chadema yaweza kutumia kampeni dhidi ya ufisadi kumuangusha mwaka 2015.
Pia kambi za sitta,mwakyembe na membe zitachukia na kukimega chama hapo 2015.
Pili
kwa upande wa chadema mheshimiwa huyu amewahakikishia kuwa akitoswa na kk ya ccm basi ataingia chadema na washirika wake kutoka ccm na hivyo kuihakikishia chadema ushindi 2015,tujikumbushe ile kauli ya 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm'
Kimsingi chadema kama kilivyo vyama vyote vya siasa kina lengo la kushika madaraka kwa njia yoyote ile halali au hata ikibidi iwe haramu.kuungwa mkono na mtu mwenye nguvu ndani ya ccm ni karata muhimu sana katika kushika dola.
Anachokifanya lowassa kwa sasa ni vitu viwili...
Kuitishia ccm kwamba 'msinipopitisha nitahama chadema'
Pia kuwahaidi wanachadema kuwa ccm wakimtosa basi atagombea na kuiingiza chadema madarakani,ataserve kipindi chake na kuwaachia dola!
Hii karata ya lowassa nailinganisha na kuua ndege wawili kwa jiwe moja.
Mods tuache tujadili hii siasa !
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
lowassa amewashika pabaya wanachama wa vyama viwili hasimu nchini.

Ucjidanganye kuwa hiyo ni kashfa ya kuwafanya CDM washinde urais!! Lowassa alijiuzuru baada ya wale mawaziri kukumbwa na kashfa hiyo,na yeye akiwa ni kilanja wao,alijiuzuru baada ya wabunge kumwandama kuwa alifanya uzembe kuwacmamia,na c kwamba yeye alihucka kwenye mikataba hiyo. Hilo wengi wanalijua ndo maana bado anaonekana anafaa kuongoza nchi!! Na pia akigombea urais,ujue kuwa wapo CDM watampa kura zao nyingi tuBinafsi mpaka Leo sielewi kwa nini watanzania ni wepesi sana kusahau. Kilichomfanya huyu Mhe. Lowasa kujiuzulu PM ni kwa sababu ya ufisadi, Richmond. Kitu kinaendelea hadi Leo hii tumepandishiwa umeme kwa unit moja Tsh 306 hacha charge nyingine Kama rea, vat, ewura...Je akishika nchi si tutakula majangili?
Tanga 1995 Baba wa Taifa alisema huyu jamaa hafai kuwa Rais maana ni fisadi. Miaka ya 85, baba yake mzazi alimshtaki kwa uongozi wa nchi, kisa kujenga nyumba Kubwa monduli wakati akiwa aicc. Kama baba yake mzazi amemuona ni fisadi kwa nini sisi watz tunamgombania?
Ucjidanganye kuwa hiyo ni kashfa ya kuwafanya CDM washinde urais!! Lowassa alijiuzuru baada ya wale mawaziri kukumbwa na kahfa hiyo,na yeye akiwa ni kilanja wao,alijiuzuru baada ya wabunge kumwandama kuwa alifanya uzembe kuwacmamia,na c kwamba yeye alihucka kwenye mikataba hiyo. Hilo wengi wanalijua ndo maana bado anaonekana
anafaa kuongoza nchi!! Na pia akigombea urais,ujue kuwa wapo CDM watampa kura zao nyingi tu
Ndg, ni saidieni nielewe! Lowasa anahusishwa vp kuongoza nchi wakati aliondoka madarakani kwa kashfa ya ufisadi (Rich)?
siamini kama EL anaweza hamia Cdm !!