Kwenda Chadema kwa Lowassa ni vigumu pili CHADEMA kumkaribisha Lowassa ni mbingu na aridhi ikitokea ikawa hivyo kwa mambo hayo mawili CCM itageuka kuwa chama kukuu cha upinzani.
EL ni mwiba mkali kumsimamisha ELau kumuacha ahamie CDM ,CCM wanaogopa maana wanajua matope waliyompaka kuwa ni fisadi wa Richmond hawajui akipata uraisi atawachukulia hatua gani mafisadi wa kweli.NB Hii kwa CCM nisawa na kulia au kucheka zote kelele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.