Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.

AMINA.Ubarikiwe mtumishi.
 
watanzania mmegeuka kuwa mazuzu. lowasa siyo chochote ila anaumarufu wa nguvu ya pesa hana nguvu ya Muna. ache kugawa hizo fedha zake . Aache kukimbilia makanisani na misikitini home kama huko umarufu upo. kinachowatesa baadhi ya watanzania ni kuwa na akili kama ya kuku. tunasahau mambo kwa mda mfupi sana mtandao wa kifisadi uliomuweka baba Riz hapo alipo ndiyo huohuo mtandao unaotaka kumweka Mr lowasa. sijui kama mnao ya mbele? vijana wachache wanamshabikia lowasa wakiwa na matumaini ya kuwa pengine fadhila atakuja kuwapa baada ya kutinga magogoni lakini dhubutu lowasa hana ubavu wa kuwa rais wa Tanzania hata Tanganyika atamaliza fedha zake bure atakufa kwa pressure. na ushauri apumzike maana hali yake itakuwa mbaya sana ccm wakimtosa na hata kama wasimmtosa Chadema watachukua nchi mchana kweupe.
 
subiri mwisho wa siku utaona,hoja yko umeandka kwa kulalamika sna,ila nikuambie tu hizo chuki ulizo nazo kwa mh lowassa rais wetu mtarajiwa ci lolote,watanzania kwa ujumla wanamkubali sna mh lowassa wanachosubiri ni kumpa kura zao tu
 
Jinga sana tumechoka na sera zisizotekelezeka na masisiemu yenu.we need someone who doe not have scandal. Yani alivyochokwa kikwete ndivyo hatutaki kusikia lisisiemu lenu
 
subiri mwisho wa siku utaona,hoja yko umeandka kwa kulalamika sna,ila nikuambie tu hizo chuki ulizo nazo kwa mh lowassa rais wetu mtarajiwa ci lolote,watanzania kwa ujumla wanamkubali sna mh lowassa wanachosubiri ni kumpa kura zao tu

Huyu mtu anayepita anahonga honga watu na mitandao yake ni wa kuogopa kama ukoma!!
 
Bila shaka we n mmoja waliochukua pesa za haraka. Kama una akili kichwan na hufikirii kwa kutumia makalio huwez kumuunga mkono fisad ambaye kila alipogusa utajr ulipaa kutisha. Sijasahau machungu ya rich monduli aafu leo anathubutu kufanya mikakati ya kugombea urais kweli hili taifa la wadanganyika
 
Huyu mtu anayepita anahonga honga watu na mitandao yake ni wa kuogopa kama ukoma!!

Ni zaidi ya huko maana kumuunga mkono ni kumuunga mkono shetani kwa kusahau shida alizobabisha kwa watz maskini kwani pesa alizoiba anazosimbaza sasa zingetumika kutuendeleza kipindi kile tungekuwa mbali.
 
Love or loathe him, Lowasa is a man and half. Kwake kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Eti muda bado! Muda ni huu.
 
Twashukulu sana kwa kujiliwaaza, ukiwa umelala mida ya mchana na mnyama pori wako. Grrrrrrrrrrrrrrrrrr Ndoto za mchana chali wangu.
 
Ni mpuuzi tu ndiye anayeweza kwenda kumsikiliza huyo mwizi akaacha kwenda jangwani kupata neno la ukombozi!!!! pamoja daima!!!!
 
Ni mpuuzi tu ndiye anayeweza kwenda kumsikiliza huyo mwizi akaacha kwenda jangwani kupata neno la ukombozi!!!! pamoja daima!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…