Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.
Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Lowasa yupo chadema kwa kazi maalumu, japo atashitakiwa tu kwa ubadhilifu wa feza za umma.
Hivi kwa akili yako unadhani Lowasa anaweza kuwa na chochote kichwani mwake kuendesha siasa ukiacha masuala ya ufisadi ambayo ndiyo Taluma yake ya kusomea?

Lowassa ndie Rais oktoba 25.

mpango mzima ni kuipa likizo ccm bila malipo kama wanavyowafanya wafanyakazi ili wajifunze kuwa kukosa pesa kuna athari gani katika familia,leo hii wao wanapelekana nje kama hawana akili nzuri sababu ya unyanyaji wa haki za wananchi,wakae pembeni kama ukawa ni wagonjwa wao ccm watwambie vyeti vyao vya uzima viko wapi.