Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

hiyo haiwezekani hao walokatwa tayari atawarudishia ili awe fair??
hata nchi zilizoendelea wanafunzi wooote wanapata mikopo bila kujali anasoma nini ila kulipa lazima na hamna kukwepa sembuse hapa huyu mzee anaona watanzania wajinga sana atoe basi ahadi zinazofanya mtu mwenye akili timamu aamini
 
mbona mnajifanya kama nyie nchi yenu wakati wazungu wanatoka kwao kuja kuhemea huku
 
Haaaaaa aiseeee huyu akikosa uraisi baaaaasi tena
 
huyu jamaa anaongea vitu vya msingi ila kuna mijitu imelaaniwa haisikii wala haioni nia njema ya huyu rais wa watanzania

huo ni ujinga wa hali ya juu . huku unasema elim bure , huku utasamrhe mikopo .. badala ya kuboresha sasa sijui sustainable eduction uta achieve kivip itafika mahali hiyo elim itakwama ,kabisa , ni sawa na benk kusema inatasamehe wadaiwa wake sasa sijui hiyo bank itajiendesha kivip
 
Habari njema kwa wanufaikaji wa mikopo ya heslb

Huyu jamaa ni mbaguzi naona anaendelea kutugawa.. Alianza na ukabila eti wamchague kisa yy ni wa kaskazini.... Baadae akaja na udini eti wamchague kisa yy ni mlutheri, anagawa pesa misikitini, makanisani ili tu wamchague.... . Sasa hivi anakuja na hii kitu bila kujua kwamba anaendelea kutugawa, hajui kwamba kuna wengine walishalipa hiyo mikopo, wengine bado wanaendelea kulipa,.... Huyu mtu hatufai hata kidogo na urais ataendelea kuusikia bombani tu.... Tatzo sio elimu bure muulizeni njia atakazotumia ili hiyo elimu bure mpaka chuo kikuu ipatikane sio mnapelekwapelekwa tu kama nyumbu.
 
huo ni ujinga wa hali ya juu . huku unasema elim bure , huku utasamrhe mikopo .. badala ya kuboresha sasa sijui sustainable eduction uta achieve kivip itafika mahali hiyo elim itakwama ,kabisa , ni sawa na benk kusema inatasamehe wadaiwa wake sasa sijui hiyo bank itajiendesha kivip

Mkuu hebu ongea hata kwa logic kidogo ili tuweze kukutofautisha na wauza vitumbua au wasukuma mikokoteni
 
hiyo haiwezekani hao walokatwa tayari atawarudishia ili awe fair??
hata nchi zilizoendelea wanafunzi wooote wanapata mikopo bila kujali anasoma nini ila kulipa lazima na hamna kukwepa sembuse hapa huyu mzee anaona watanzania wajinga sana atoe basi ahadi zinazofanya mtu mwenye akili timamu aamini

Kwan iyo mikopo huwa ikilipwa inafanya kazi gani? Tunaodaiwa tumempa na tutampa Kura yetu. Mwaka huu tutampeleka Lowasa ikulu kwa gharama yeyote, ccm wajue cc ndio wenye nchi. Subiri siku 15 zijazo
 
Kura yangu ni kwa lowasa. Bum linatesa sana lkn makato palepale
 
Huyu jamaa ni mbaguzi naona anaendelea kutugawa.. Alianza na ukabila eti wamchague kisa yy ni wa kaskazini.... Baadae akaja na udini eti wamchague kisa yy ni mlutheri, anagawa pesa misikitini, makanisani ili tu wamchague.... . Sasa hivi anakuja na hii kitu bila kujua kwamba anaendelea kutugawa, hajui kwamba kuna wengine walishalipa hiyo mikopo, wengine bado wanaendelea kulipa,.... Huyu mtu hatufai hata kidogo na urais ataendelea kuusikia bombani tu.... Tatzo sio elimu bure muulizeni njia atakazotumia ili hiyo elimu bure mpaka chuo kikuu ipatikane sio mnapelekwapelekwa tu kama nyumbu.

Kwa iyo hapo. Amewagawa kwa lipi? Ndio maana tu nasema CCM imewapa Bora elimu. Una dimensional moja tu kichwani. na lowasa akiwa Rais Tafadhali rudi shuleni ukasome maana kutakuwa na Elimu bora.
 
Unatumia materkol kufikiri ndo maana huelewi... Kundi la kwanza walishalipa, kundi la pili wanaendelea kulipa, two different groups sharing the same interests. .. Bado hujaelewa tu?
 
Sikiliza mkuu, ccm imeahidi elimu ya msingi na sekondari itakuwa bure. Jiulize wale waliolipa ada na michango mingine na tuliosoma zamani tutarudishiwa pesa zetu? Jiongeze kidogo bhasi mkuu. Tunaposema mabadiliko tunamaanisha na elewa maaana ya mabadiliko
 
Ahahahaha hear comes another one!...nyinyi watu mna matatizo tena si madogo aisee, chuo kikuu unakopeshwa huko kwingine sio mkopo, umeshindwa kuelewa issue ndogo kama hii.?
 
Aache ujinga, kama USA wanakopeshwa sembuse nchi masikini kama yetu, isitoshe mi nimebakiza deni dogo tu

Mbona Libya yagadafi yaliwezekana na USA wakaona donge nakuleta figisu kwa Gadafi,rasilimali tulizonazo hakuna kisichoshindikana...
 
Acha libya, Algeria yenyewe watu wanasoma bure na wanasomesha waaafrika wengine kibao
 
Eti wagombea wote wawili hawajaelewa mabadiliko. Ina maana yeye slaa tu ndio anaelewa. Jamani...

Kasahau alisema ILANI ilitengeneza na CHADEMA na yeye alikuwepo hahahahah cha ajabu Leo hata yeye inapinga ILANI aliyoshiriki kuitunga
 
Back
Top Bottom