Anatafuta kiki tu?we kwa akil yako inawezekana,na wale waliolipa je?wale waliojisomesha wenyewe nao atawarudishia hela?Hivi ukiwa mbona miakili yenu imelalalala kama jamaaa
Acha ujinga mbona unafikiri kwa kutumia masaburi ww,ccm inavoahidi kutoa elimu bure waliokwisha soma watarejeshewa ada zao??? na wanaposema wataboresha huduma za afya ina maana watawafufua waliokufa kwa huduma mbovu???
. hapa umechemka jombaaa...yaani tangu kampeini zianze hujui walahujafatilia ata mmoja wao kujua wanatoa ahadi gani......hii ya kutoa elimu bure alisema LOWASS sio CCM.....duh kumbe mnashangilia tu UKAWA kumbe hujui malengo yao.......!!!!

huyu jamaa anaongea vitu vya msingi ila kuna mijitu imelaaniwa haisikii wala haioni nia njema ya huyu rais wa watanzania
Hivi ukiwa pro - mcc unajitoa akili makusudi au si jui inakuwaje? kwani lazima kila thread inayo attack mcc uchangie!! Hivi escrow moja tu haiwezi kulipia madeni ya wahitimu? Ukiona hoja ni nzito kuliko uwezo wako wa ku analyse issues critically, ni bora kukaa kimya vinginevyo tunawapa ujiko vijana wa ukawa waonekane wako smart bila sababu ya msingi
. hapa umechemka jombaaa...yaani tangu kampeini zianze hujui walahujafatilia ata mmoja wao kujua wanatoa ahadi gani......hii ya kutoa elimu bure alisema LOWASS sio CCM.....duh kumbe mnashangilia tu UKAWA kumbe hujui malengo yao.......!!!!
Acha ujinga mbona unafikiri kwa kutumia masaburi ww,ccm inavoahidi kutoa elimu bure waliokwisha soma watarejeshewa ada zao??? na wanaposema wataboresha huduma za afya ina maana watawafufua waliokufa kwa huduma mbovu???
Je, makato yatasitishwa kwa waliokwishaanza kukatwa?
Kawaambia mtaishi bure huku mnanyonya kama kupe ..kawaharibu sana, hata biblia mbona inatwambia ya kaizari tumpe kaizer, sasa huyu Lowassa yeye anatumia msaafu upi ama ndo yale maagizo ya pete yake? tambueni Tanzania siyo Eden.
Kwa sababu anajulikana ni mwizi, kwenye urais uadilifu ni jambo la kwanza