Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

Kunahaja ya Harambee ya mtaani kwetu ya kutufanya wanafunzi kupata nauli kwenda mavyuoni mwao kupiga kura
 
hiyo haiwezekani hao walokatwa tayari atawarudishia ili awe fair??
hata nchi zilizoendelea wanafunzi wooote wanapata mikopo bila kujali anasoma nini ila kulipa lazima na hamna kukwepa sembuse hapa huyu mzee anaona watanzania wajinga sana atoe basi ahadi zinazofanya mtu mwenye akili timamu aamini

Mwaj waukweli, huwa nakubali sana kwa comment zako ila kwa hili umezimgua bwana, kwa hiyo una wivu kuona sisi wadogo wako tunasamehewa mkopo, acha ubinafsi bwana, kwani we huna mdogo ako, mwanao, binamu yako au hata jirani yako tu atakayenufaiki endapo Lowassa atasamehe watu mikopo yao, sasa nasema acha ubinafsi kama viongozi wengi wa Tanzania walivyo, usijiangalie wewe tu na tumbo lako.
 
Back
Top Bottom