Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

Lowassa kusamehe walionufaika mikopo ya HESLB

keynessian

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
591
Reaction score
422
Habari njema kwa wanufaikaji wa mikopo ya HESLB
 
Attachments

  • 1444201520700.jpg
    1444201520700.jpg
    56.4 KB · Views: 1,034
Maaana mikopo yenyewe hailipwi
 
Je, makato yatasitishwa kwa waliokwishaanza kukatwa?
 
Dah, hawa manyang'au wamekata mkopo wangu... ningejua ningesubiri nisome kipindi cha EL 🙂
 
Lowasa anaomba kujitwisha mzigo mkubwa mno na akishinda atalazimika kutekeleza maana ataandamwa sana tofauti na CCM tuliowazoea
Kutangaziwa neema kama hizo ugumu wa maisha tutaendelea kuulea sis kwa kutaa kumpa nafasi.
Namwombea sana ashinde tuone ukweli WanaCCM walikuwa wanajimegea wenyewe tu au ni kweli haiwezekani?
 
Hii ahadi nilikuwa naisubiri kwa hamu
 
Vijana changamkeni sasa kumpa Kura zenu Lowassa, ni jambo jema sana kw kufutiwa mkopo huo...!!
 
Anatafuta kiki tu?we kwa akil yako inawezekana,na wale waliolipa je?wale waliojisomesha wenyewe nao atawarudishia hela?Hivi ukiwa mbona miakili yenu imelalalala kama jamaaa
 
Bora aisee na mm nimuhanga wa deni. Kama watu wachache wanakula 306 bilion za escow kwann serikali ishindwe kufuta madeni ya mkopo
 
kuwalipa bodi ya mikopo ni ujinga wa hali ya juu.

hizo hela ni kodi zetu... deni lao nawalipa through paye only...

kama Jk amelipa hela aliyosomeshewa enzi zile na mimi nitawalipa
 
Anatafuta kiki tu?we kwa akil yako inawezekana,na wale waliolipa je?wale waliojisomesha wenyewe nao atawarudishia hela?Hivi ukiwa mbona miakili yenu imelalalala kama jamaaa

Acha ujinga mbona unafikiri kwa kutumia masaburi ww,ccm inavoahidi kutoa elimu bure waliokwisha soma watarejeshewa ada zao??? na wanaposema wataboresha huduma za afya ina maana watawafufua waliokufa kwa huduma mbovu???
 
Back
Top Bottom