Lowassa kurejea CCM: CHADEMA imepata penati dakika za lala salama!

Yes selling points my friend!
By embracing Lowassa, mtu aliyeshutumiwa kwa miaka tisa kuwa ni fisadi, CDM ilishapoteza moral authority ya kuongelea ufisadi hata kama upo na ni mbaya zaidi wakati huu.
Ngumu kuanza kushutumu ufisadi na viongozi hawa hawa.
Lazima kuanza upya.

Only by embracing him? Methinks you are trying to create a mountain out of mole hill. Yes it was a miscalculation on their part and opposition politics have only suffered a minor setback. Watanzania wangekuwa wamechukizwa na kitendo hicho wasingewapa Ukawa kura 6m! Wanasiasa hufanya makosa kila siku. Makosa yaliyofanywa na kuendelea kufanywa na ccm ni mind boggling ukilinganisha na hili. But there they are. Isitoshe, kosa kubwa la Lowassa ilikuwa ni mkataba wa Richmond ambao ulihusisha serikali kwa ujumla wake. What is more, ufisadi ulikuwa agenda kubwa kipindi kile; siyo sasa. Ingawa ufisadi bado ni tatizo sasa hivi kuna mambo makubwa na ya msingi zaidi kwa ustawi wa taifa hili kuliko ufisadi; mambo yanayotishia utaifa wetu. Na ufisadi wenyewe sasa umechukua sura mpya kwani ni kwa mujibu wa CAG ambaye naye amepata harassment kwa ajili hiyo. Mimi sitegemei hata ccm watakubali kuingia kwenye uchaguzi mkuu ujao na sura hii ya sasa.
 
Your first two sentences says it all. The rest as they say, ni mbwembwe tu.
Eventually, one has to pay for the gross miscalculation. Sooner or later.
 
Yawezekana Dr. alikiwa sahihi kwamba jamaa alikiwa liability....
 
Bao kali la kisigino ni kuunganishs CDM, ACT na CUF kwenye Chama kimoja ili kupata nguvu ya upinzani.
kwa ccm ilipogikia hivi sasa hata ukiunganisha hivyo vyama na ukaazima na ANC ya SA huwezi kuitoa ccm madarakani, niamini mm. kama mlishindwa 2015 kuna nini kipya upinzani utakifanya kwa kuunganisha hivyo vyama ambacho hakikufanyika kwenye ukawa? watanzania wamesha ikubari ccm...hutaki...kunywa maji mengi pumzika kivulini
 
Back
Top Bottom