Kama hiyo avantor niyako na huyo mzungu lazima akula masaburi yakoBora uje mwokozi wetu na kipenzi cha wengi Tz.lowasa waaa wanaweka wanatoa ushindi unakujaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ah! maskini mzee wa watu anajitafutia 'stroke' ya bure! Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa.Bora uje mwokozi wetu na kipenzi cha wengi Tz.lowasa waaa wanaweka wanatoa ushindi unakujaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hivi Lowassa yuko CCM Academia au CCM original?
nina uhakika makamanda wa cdm wamemuandalia majibu.