Serikali kupitia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la Makuyuni lililopo Monduli, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
View attachment 350604
Lazima watakuwa wamemfuata na kumuomba wagawie maana limekaa muda na haliendelezi! Kwa maslahi mapana ya wananchi wa eneo lile na busara zake atakuwa amekubali walichukue
Je atanyang'anywa sababu ni Lowassa au kwa vile haliendelezwi?
Wanaotumiwa kupewa nyumba visivyo halali hawanyang'anywi?
Hivi kama ameamua shamba lake liwe mazalia ya swala na digidigi kunaweza tatizo! Watz bwana, wanataka kila mtu alime. Hatuna ubunifu.
Je atanyang'anywa sababu ni Lowassa au kwa vile haliendelezwi?
Na mkapa pia...bado yule aliyepora Ardhi ya Magereza na wana Kijiji kule Kibaigwa, Mjumbe wa kamati kuu chadema !