Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Tulia mafisadi wenzio wakamuliweSiyo kosa lako, nimekupuuza maana hujui hata sheria za ardhi zinasema nini, msongo wa mawazo unakusumbuwa nenda katafute bwana mbele wa kukusaidia kulea watoto uliowapata guest.
Makubwa!! Mara hii nimekuwa fisadi!? Well hongera great thinker.Tulia mafisadi wenzio wakamuliwe
FREDRICK TLUWAY SUMAYE analo jibu hili hapa:Nyumba Za serikali
Sasa mbona unatukana, unatumia maneno ya kuudhi.Siyo kosa lako, nimekupuuza maana hujui hata sheria za ardhi zinasema nini, msongo wa mawazo unakusumbuwa .
Unaona kuwa Sumaye anajikanyaga! Akubali kulikuwa na hila ovu nyuma yake!FREDRICK TLUWAY SUMAYE analo jibu hili hapa:
Kila mmoja atamezwa na ardhi, labda uwekwe kwenye kioo kama Kenyata![/U]huyu mzee na ardhi, ukiigombania ardhi ipo siku itakumeza TU
Mmmmh acha mikwala hiyoo,hakuna aliyejuu ya sheria...zile zama za unanijua mimi nani zishapita kitambo saanaHapo ndiyo watamjua Lowassa ni nani. Eti wamnyang'anye shamba. Thubutuuuuu. Hivi Lowassa mnamjua mnamsikia?
Umetumia maneno ya busara ndg yng, nadhan tufike mahali tuwe na ukomo wa kutukana watuSasa mbona unatukana, unatumia maneno ya kuudhi. Jenga hoja, ad homine arguments hazikusaidii kujenga hoja. Sheria za ardhi si unachukua sheria namba 4&5 za 1999 ( na sheria zingine za ardhi-land acqisition act, TIC act etc) unasoma na regulations zake. Unasoma tena conditions za kuwa granted right of occupancy zinasemaje. Hivi ni vitu ambavyo unaweza chukua vitabu ukasoma na usipoelewa section/provision una google kuona kifungu hicho kama kuna kesi iliyokitafsiri- simple; kama wewe ni mwanasheria basi wenzako tulimaliza huko zamani sana tena tulisoma kama nyongeza tu baada ya kumaliza degree zingine!
Back to the roots: Unajuaje kama mimi ni mwanamke? Unajuaje kama nina watoto? Unajuaje kama nilipata watot guest-Hivi Matola ni watu wa Masasi? Ndanda, Chiungutwa, Mwena etc.
Have a nice day and enjoy your work, taking care not to fall the victim of puss squeezing!
Lazima wengine tuwe na mtazamo tofauti kidogo. Akitukana na mimi nikatukana hatutafika, tuelimishane , ndio kujifunza. Elimu haina mwisho. Waitu bagile mushana!Umetumia maneno ya busara ndg yng, nadhan tufike mahali tuwe na ukomo wa kutukana watu
Hii thread, hitapata support za watu, kwa kua wengi wao ni wa kwake!!!!!Serikali kupitia waziri wa ardhi nyumba na makazi, imetangaza uamuzi huo bungeni wa kumnyang'anya shamba la makuyuni lililopo monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond ndugu Lowassa, na kuwagawia wananchi wa eneo hilo.
Chanzo: Jambo leo
Wakola waitu osibe gei,,,,,, uctukane mtu ucyemjua ushaur Kwa wadau wa JF HUMULazima wengine tuwe na mtazamo tofauti kidogo. Akitukana na mimi nikatukana hatutafika, tuelimishane , ndio kujifunza. Elimu haina mwisho. Waitu bagile mushana!
Yours tooYour ID define you.
Kasinge.Wakola waitu osibe gei,,,,,, uctukane mtu ucyemjua ushaur Kwa wadau wa JF HUMU
Huu ni utekelezaji wa ahadi...kwamba ardhi isiyotumika itarudishwa kwa wananchi masikiniSiyo rahisi hivyo Kama mnavyodhani mliwadanganya watanganyika kuwagawia sukari bure baadae mkasalimu amri. Endeleeni kuigiza .
Ok jingalao...tehtehtehYours too