Lowassa kukaangwa kama Yesu!

Yesu anahusika vipi hapa alafu unatumia neno kukaanga ndo nn mbwaa???

mknd wako! kama huamini nguvu za lowasa, basi kateni jina lake muone kama chama hakijawafia mikononi, gamba mkubwa!
 
Lowassa kukatwa ni ndoto za Abunuasi..... CCM watakuwa wajinga sana kama watamkata mtu ambaye atakibeba chama hicho ambacho kinapoteza mvuto kwa wananchi as days goes
 
Lowasa na Yesu Kristo wap na wap yani ni giza na nuru na ni vema ungetubu mkuu ili usamehewe
 
Lowasa na Yesu Kristo wap na wap yani ni giza na nuru na ni vema ungetubu mkuu ili usamehewe

sijasema lowasa ni Yesu ila CCM wanataka kumuangamiza KAMA mafarisayo walipotaka kumuua mtoto Yesu. mkuu kama hujui biblia ni bora ukakaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa kukatwa ni ndoto za Abunuasi..... CCM watakuwa wajinga sana kama watamkata mtu ambaye atakibeba chama hicho ambacho kinapoteza mvuto kwa wananchi as days goes

umeongea vema sana mkuu ocampo four. haya uliyosema hapa kama CCM hawatayazingatia, imekula kwao!
 
Last edited by a moderator:
waliojaribu kumzuia Yesu walijikuta kikaangoni, sasa huyo kada asiye na jina mwambie awe makini asije kukaangwa yeye instead
 
Lowassa kukatwa ni ndoto za Abunuasi..... CCM watakuwa wajinga sana kama watamkata mtu ambaye atakibeba chama hicho ambacho kinapoteza mvuto kwa wananchi as days goes

kama wanataka kukiua chama, basi njia nzuri ya kukizika ni kumuondoa lowassa, ila kama wanataka uhai wa chama wasijaribu hizo mambo aiseee watabadilisha historia ya tanzania
 
mknd wako! kama huamini nguvu za lowasa, basi kateni jina lake muone kama chama hakijawafia mikononi, gamba mkubwa!

tpaul, mkuu punguza hasira na ongeza busara
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga sana kumfananisha YESU na Lowasa. Acha kabisa huo upu******** wako
 
Ni ujinga sana kumfananisha YESU na Lowasa. Acha kabisa huo upu******** wako

Mknd wako! Hujui kiswahili nini? Nani kakuambia Lowassa ni Yesu? Lowasa fisadi atafananaje na Bwana Yesu. Ficha upumb...u wako wewe!
 
hoja yako ni nzuri ila ondoa kabisa neno YESU

.....Daah! Mi mwenyewe nashangaa, yaani kakosa vitu vya kutaja hadi amtaje Yesu kwenye masuala asiyostahili ktajwa.

Hawatendei haki watu wanaomuheshimu Yesu.
 
Good team Lowassa.
 
Mknd wako! Hujui kiswahili nini? Nani kakuambia Lowassa ni Yesu? Lowasa fisadi atafananaje na Bwana Yesu. Ficha upumb...u wako wewe!

Nimegundua we ni dhaifu sana..not matured , huwezi kutambua makosa yako thats means you lack ingenuity to make a good and reasonable threads...go and dig more ...also know how to avert pensive mood of yours... anyway you are too little to argue with me...go to hell..hahahaha. CC tpaul
 
Wewe uliyeleta hii thread utakuwa umesindikwa,si bure!
 
We unamjua Yesu vizuri wewe. Usimfananishe Yesu na mishe.nzi yako hiyo.
 
Paukwa
pakawa
Alitokea chinjagaa
Kajenga nyumba kaaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…