Lowassa kukaangwa kama Yesu!

kama kweli mna jeuri hebu kateni jina lake muone kitakachowafika.

Sio suala la kukata jina, bali lile wazo la kufikiria kuwa anaweza kuwa mgombea halistahili kuwepo.
 
kunguru kuzaliwa kwenye jamii ya njiwa ni hatari sana...
 
tpaul unashangaza watu. siku zote humu uko bize kuiponda ccm. leo hii unamsifia lowasa. sasa tukuelewe uko wapi? chadema au lowasa au lowasa-ccm?

 
tpaul unashangaza watu. siku zote humu uko bize kuiponda ccm. leo hii unamsifia lowasa. sasa tukuelewe uko wapi? chadema au lowasa au lowasa-ccm?

mkuu nna wasiwasi bado hujanisoma vema. haya maandiko sio yangu bali nimeyanukuu kutoka kwa kada wa CCM aliyepo makao makuu, Dodoma. rudia tena kusoma nilichoandika.
 
Kila mkimtaja EL naikumbuka ile statement yake kuwa "ha(mu)wezi kuzuia mafuriko kwa mikono"! Ngoja tuone ukweli wa jambo hili ni suala la wakati tu!
 
mkuu nna wasiwasi bado hujanisoma vema. haya maandiko sio yangu bali nimeyanukuu kutoka kwa kada wa CCM aliyepo makao makuu, Dodoma. rudia tena kusoma nilichoandika.
nimekusoma.
 
Kwa hilo la kumkaanga Lowasa kama Shetani alivyokaangwa nawaunga mkopno CCM
 


Usimfananishe Yesu aliyeogopwa na watawala kwani alikwa anakuja kuwaokoa wanadamu na manyanyaso ya dhambi na watu wanaoutaka ufalme ili kufilisi nchi na kulipiza visasi.
 
Mmmmh siku hizi ukianzisha thread yenye neno #lowasa bhaaasi... Wachangiaji wengiiii... Au ndio nyota inang'aa
 
Ukawa tumejipanga kukabiliana na yeyote yule kutoka ccm ktk nafasi zote! Kama tunaweza kukabiliana na Majimarefu anayeweza kupaa na ungo angani,sembuse El?
 

Yesu hakukaangwa! Post yako ilikuwa inajitisheleza bila kuweka mfano wa kukaangwa kwa Yesu! Uchafu mtupu! Acha kutumia mifano vibaya tena haipo! Hakuna sehemu yoyote iwe bible au vitabu vitakatifu visemavyo Yesu alikaangwa!!!
 
Lowassa = Yesu kwa Tz ya leo.....!!!!

Walimsulubu, wakamtesa, akalia kwa sauti kuu pale Bungeni Dodoma, akakata roho, akaachia UWAZIRI MKUU.....alibeba madhambi yooote ya Richmond, kuwaokoa CCM na Serikali yake

Baada ya siku ya Tatu, alifufuka kisiasa....akapaa MBINGUNI YA CCM....
Kisha akarudi tena CCM, kuwaokoa wazima na wafu.....Wale waliomsulubu leo woote wana mwabudu, na kumpigia kampeni na magoti, huku wakinena hakika Ww ni Masiah....EL ni Yesu wa sasa....!!!

Mafurikoooooooooooo.......!!!!!
 

Hii sio habari tena kwa watu wanaotazama mambo kwa uyakinifu. Toka habari zao za kuitwa kuhojiwa na kisha kufungiwa wenye macho tulijua hatima ya jambo hilo ni haya unayosema leo. Mimi najiuliza Lowasa amekuwa kwenye system muda mrefu. Je, alishindwa pamoja na marafiki wana-usalama kubaini jambo hili toka mwanzo? Kama hakuwa na macho ya kuona hilo basi uraisi haumfai!
 
Mkuu si vema kumfananisha Yesu na Lowasa, maana huyo Lowasa hana hata chembe ya haradari ya wema wa kumfananisha na Masihi/Yesu na kwa taarifa yako tu ni kwamba Yesu hakukaangwa bali alisulubiwa. Kama ni siasa ziwe na mipaka, zisikwaze imani za watu.
 
Natoa changamoto kwa CCM; acheni woga, kama Lowassa hatakiwi CCM, mtoseni wananchi wajue moja. Hizi nyimbo za kijanjajanja na kilaghailaghai zinachosha, kama hamna ubavu wa kufanya hivyo, muacheni agombee na kama ni kukataliwa, wananchi wataamua. Mnaogopa nini? Je mnaogopa kwa sababu ndani ya CCMK hakuna msafi au kigugumizi cha nini? Wameonesha njia Chadema, walipotaka kumuua nyani hawakumtazama usoni, ninyi vipi? Kila siku Lowassa, Lowassa...hivi hakuna wanaume ndani ya hiki chama, mbona kulialia kwingi oh mara tutamvua gamba, mara tutamfungia, mara tutamkaanga...acheni bwana, mnakuwa kama wanawake! Mwenyekiti analialia, Katibu analialia, marugaruga wanalialia, utadhani wote mmepakatwa na Lowassa kama wasiojiweza vile! Akha, tumechoka na kelele zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…