Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

Mi nafikiri wamempata nafasi mh.lowasa na si ma asikofu ilikuonyesha nafasi ya kanisa katika kusaidia majanga ya kijamii na serikali kiujumla mfano, meli iliyo zama hivi karibuni kama tungekuwa na helicopter yamkini tungeweza kuokao baadhi ya watu.
 
Religion+politics+Money=Disaster to the community

unamaana awa viongozi wetu wote kuanzia presida, PM,spika,mawaziri na wengine wote wa kiserikali wasiwe wanaenda makanisani au misikitini kuzindua au kutoa chochote uko
 
Lowasa ndo kashatua katiak viwanja vya Tanganyika packers, wewe endelea kutokuelewa
 
Itamsaidia kusambaza sembe na kutanua na binti mke wa mtu!
 
SAA YA UFUFUO NA UZIMA - PROPOSED MEGA CHURCH BUILDING

Seating capacity: 75,000 seat

Construction cost: Tshs. 120 Billion

Location: Dsm
 
Lowasa ni mtu wa dini anaependa kuona watu wanapata wanachostahili. Hukumu mnayompa ya matusi na tuhuma hakika mnajizolea dhambi. Hakimu wa kweli ni Mungu. Uvumilivu aliyokuwa nayo ni tuzo kutoka kwa Mungu. Ndio maana kwa sasa ukubali au ukatae ndiyo tumaini la wengi katika nafasi ya uraisi 2015. Mungu atamwinua ili maadui zake wadhalilike. Na katika nafasi hiyo atamwinua ili yote mnayoyasema sasa kuhusu Lowasa mjione mlipotoka na kwamba alichelewa

Endelea kuijazia maiti damu labda raisi wa ukoo wenu siyo raisi wa tanzania fisadi wa richmond Lowasa
 
SAA YA UFUFUO NA UZIMA - PROPOSED MEGA CHURCH BUILDING

Seating capacity: 75,000 seat

Construction cost: Tshs. 120 Billion

Location: Dsm
Hiyo seating capacity sikubaliani nayo hata kidogo yaani atleast ungesema 1,000,000.
 
Ukisema seating capacity 75,000 wengine tutakaa wapi?, na hawa watu wengine takribani 3,500,000.unamwachia nani?,.
 
Itamsaidia kusambaza sembe na kutanua na binti mke wa mtu!

Sidhani kama unaushahidi na huyo jamaa kwa unayoongea. Wabongo mmezoea akili zenu bongo lala. MTU akifanya maendeleo anauza unga mshamshika na unga au mnabweka tu. Huenda halo ulipo hats baiskeli huna kutusi wenzio.
 
Nduguzetu

Jumapili hii ya tarehe 9-Novemba, kwenye viwanja vya wazi vya Tanganyika packers , eneo la Kawe ndani ya Jiji la Dar-es Salaam ile Helcoptel iliyotajwa sana na vyombo vya habari Itazinduliwa na Mheshimiwa Edward Lowasa aliyekuwa Waziri wetu mkuu. Helcopter Itatua katika viwanja hivi saa nane mchana kwenye eneo maalum ilipo tengewa.

Mbali na Mheshimiwa lowassa pia Maaskofu wakuu zaidi ya 40 Kutoka makanisa ya Kipentekoste nchini watahudhuria. lakini pia Maaskofu wa makanisa ya Lutheran, Englican na Catholic sambamba na masheick kutoka BAKWATA nao watahudhuria uzinduzi huu wa kihistoria.

Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, ambao ndio wamiliki wa helcopter hii limemaliza taratibu nyingi za kusajili hadi kupata ruhusa ya Kuruka zilizochukua miezi Toka ilipo wasili nchini. Mbali na shughuli za kanisa lakini kanisa limeitoa helkopter hii ifanye shughuli za kijamii na ndio lengo mama hasa. shughuli hizi ni pamoja na Uokoaji wakati wa majanga.

helkopter hii aina ya Robinson R44 ambayo kwenye dunia ya vyombo vya angani inaitwa 'TOP-Vision' imeundwa kwa muundo wa kisasa zaidi wenye kioo kikubwa kinacho saidia abiria na rubani kutazama pande zote wawapo ndani. muundo huu unasaidia sana kwenye majanga kama mafuriko au vyombo vinavyozama majini. Chopaa hii ina uwezo wa kunyanyua mzigo unaokaribia tani moja ikiwa na maana inaweza kuwainua watu zaidi ya kumi kwa kamba.

lakini pia Chopaa hii ina uwezo wa kutua juu ya maji na kuendelea na safari zake. ni moja kati ya helcopter ambazo zinapendwa zaidi ulimwenguni kwa sasa. Robinson zimeundwa kwa mtindo wa kuinua pangaboi lake JUU sana kuepusha ajali. Chopaa hili halina makelele mengi wala Vumbi. watu wengi kwenye ulimwengu wa sasa huitumia kwenye sherehe na harusi mbalimbali. viongozi wengi wa siasa huzitumia kwenye kampeni.

baadhi ya watu wanahoji gharama za mafuta, Robinson inatumia kimiminika cha +petrol inayoitwa AV-Gas ambayo kwa lita ni Tsh3,200 tu. kutoka hapa hadi dodoma na kurudi unaweza kutumia mafuta ya 540,000 tu sawa na gari dogo. Robinson R44 inakimbia hadi kilometa 300 kwa saa. ina maana ni dakika 32 kutoka Dar hadi Morogoro.

uzinduzi wa Chopaa hii ni mwangaza mzuri kwa Watanzania. ni chachu kwa kila mmoja apendaye maendeleo kununua mashine zinazoleta faida sana kwa jamii. sisi sote tunakumbuka Ndugu zetu wengi wamemezwa na maji kwa kukosa nyenzo za kuwaokolea. tatizo la helikopter nyingi ni ukosefu wa marubani mahiri "Compitent pilot" Toka kanisa limeweka mawazo ya kuanza Kumiliki vyombo hivi vya angani pia tumeweka nguvu nyingi Kusomesha vijana wetu wenye akili safi nje ya nchi ili wawe marubani wazuri kwenye Ulimwengu wa anga tunao ukaribia. Ni maono ya Mchungaji Kiongozi kuwa na Chuo cha urubani Tanzania ambacho maandalizi yake yameshaanza. lakini pia kanisa limeanza mchakato wa kuagiza ndege ndogo za abiria sita na nane Jet aircraft zenye uwezo wa kukimbia kwa kasi kiasi cha kilometa 1200 kwa saa, kiasi cha kutumia dakika hamsini (50 minutes) kutoka Dar hadi Kigoma.

mbali na hapo kanisa linatarajia kuleta ndege 'cessna aircraft' zenye uwezo wa kuchukua hadi abiria 32, hizi zitafanya huduma za jamii kwa ujumla. Yote haya ni kufanya miji ifikike kwa urahisi na wepesi ili nchi yetu ipige hatua za kasi kwenye maendeleo. Mtu anaweza kutumia Jet Aircraft ndani ya masaa 11 akaitembelea Mikoa Yote Tanzania.

Kanisa linakamilisha ujenzi wa Kiwanja Cha ndege eneo la Kinzudi Salasala na wakaazi wote wa jiji hili la Darisalam na mikoani wanakaribiswa kupata huduma hizi ambazo hapo awali tulikaririshwa kwamba ni za watu wenye pesa nyingi mno kitu ambacho si kweli. Ikumbukwe kanisa halitumii mashine hizi kibiashara. mara nyingi tunaamini Mungu amesababisha tukawa na vyombo hivi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. hivyo shughuli zote za lazima kwa washirika wa kanisa na wananchi zitatolewa bure na kama gharama itakuwepo basi ni ndogo sana kama kuchangia mafuta na si vinginevyo. Ni maono ya mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima kuhakikisha kila tulicho fikiri hakiwezekani sasa kinawezekana tena si kwa gharama ambazo wengi tunaziogopa bali kwa gharama za kila mtu hasa mtanzania wa kawaida kuzimudu.

Mbona ni ajabu sana,chopa kwa ajili ya kazi ya injili inazinduliwa kwa mantiki ipi?mimi ninadhani ingewekwa wakifu.
 
Mimi nnavyojua na nijambo la uhakika 100% huwa kuna laana flani hivi Mungu anaachilia kwa mtuanayekashifu watumishi wa Mungu....na kwa hali zetu za kibinadamu huwa ni ngumukutambua kuwa huyu au yule ni mtumishi kweli wa Mungu...Yesu Kristo mwenyewe alikashfiwa,,ilani wengi waliokuja baadae kusema...aaaaaahhh kweli huyu kumbe alikuwa Mwana waMungu ila baada ya kumpigilia msalabani.....na wakaanza jiuliza ''lakini sasambona alizaliwa kwenye banda la ng'ombe??...hapo najua watu weengi walimshangaaMungu...lakini haibishaniwi Yesu alikuwa Mungu...

Munguni mwenye Nguvu na anendlea kutenda kazi kwa kutumia watumishi wake kamaalivyowatumiaga kina Musa, Eliya, Elisha, Danieli, Daudi, na wengine wengi...nacha ajabu sana huwa anainua mtu katikati ya watu na huwa anaangalia moyo wayule mtu anaemhitaji halaf anampa nguvu ya kuitenda kazi yake.......mfanomwingine ni Mtume Paulo, alikuwa mnyang'anyi na muuaji, ila kumbe ndani yakealikuwa na Kitu kikubwa katika ufalme wa Mungu na ndiyo huyo Mungu aliyekuja kummbadlishana kumtumia kuandika karibia nusu ya agano jipya na aliweza kuzunguka maeneomengi ya ulaya na asia akiihubiri ya Yesu Kristo

Sasaleo yuko Mch. Gwajima...ambaye huduma yake ina maelfu ya watu, ila kuna watuwana pata baraka zao pale na wana funguliwa na wanakuwa wanaendlea kujuakujiombea wenyewe na kupingana na hila za shetani....maana ndio adui wa watu waMungu.....
sasanaona anazidi kubarikiwa na kubarikiwa na sasa kanisa lina Helikopter...kwaajili ya kuihubiri injili Ya Yesu....

Hili nijambo la kushtusha kwa maana mimi nnavyojua kwa maneno mengi anayoongeaga...nakupinga maovu ya serikali bila kificho...lazima wangesha mmaliza na kummpotezambali kabisa kabisa....lakini mpaka sasa wamemshindwa...NINAMINI NYUMA YAKEYUPO MUNGU ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA ROHO WA BWANA YUKO JUU YAKE..

Kwajinsi nnavyojua magazeti yalivyomchafua kwa kashfa nyingi nyingi kila siku, kwakaribia miezi mitatu...na sakata mbali mbali lazima lazima angetetereka nakukimbilia ka nchi ka jurani lakini bado yupo anasonga mbele tena kwaNguvu...NINAMINI NYUMA YAKE YUPO MUNGU ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA ROHO WABWANA YUKO JUU YAKE..

Kwaninavyo mjua shetani na mawakala wake wachawi na waganga wa kienyejiwalivyokuwa hawapendi Kazi ya Mungu isonge mbele na kwa jinsi wanavyomloga huyu mchungaji kila siku na wanavyojaribu kummaliza kila siku...lazimaangeshamalizika na kufia mbali kabisa..ila sasa NINAMINI NYUMA YAKE YUPO MUNGUALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA ROHO WA BWANA YUKO JUU YAKE..

Kwaninavyokumbuka 2011 msoma nyota alimkashifu na kuanza kumtukana, Msomanyota akaendelea sana kusema mabaya...na watimaye mchungaji huyu akammpatiamasharti matatu ayatekeleze ila msoma nyota akashindwa, na aliambiwa akishindwakuyafata atakufa na kweli akafa.....msoma nyota hakuchukua round toka amsemeseme...akafa.......
NINAMINI NYUMA YAKE YUPO MUNGU ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA ROHO WA BWANA YUKO JUU YAKE..
 
Wengine watakua wanasali kwenye branches kubwa hapo dar

But hemu tuangalie idadi ya watu ufufuo na uzima kwa miaka 100 ijayo na si kwa miaka miwili au mitano ijayo, although kwamba tutakuwa na beaches lkn watu wengi watataka kusali head quarter.
 
Hakika umenena vyema
 
But hemu tuangalie idadi ya watu ufufuo na uzima kwa miaka 100 ijayo na si kwa miaka miwili au mitano ijayo, although kwamba tutakuwa na beaches lkn watu wengi watataka kusali head quarter.

Maono yako makubwa na ni kweli kabisa hapo itabidi megachurch ziwe zaidi ya moja then senior pastor anakua ana rotate,unaweza ona construction cost za 75,000 capacity church ni around 120 billion,kama dola mil 90 hiv.
 
lowasa.jpg

huyu mzee alifukuzwa waziri kubwa ndani ya miaka miwili tu. Nashangaa kila ukikutana nae kitaa anawalinzi sio chini ya watatu.. Inamana hajiamini au kunani?!!! Sumaye miaka kumi waziri kubwa lakini nimekutana nae dukani samora st ananunua suti yuko na jamaa tu anpiga stori poa kabisa. El ananipa wasiwasi why?? Kwaniniii?
 
Back
Top Bottom