Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Naam yupo live sasa mliotaka sera msikilize
 
Tetesi ni kweli sasa yuko Live anahutubia kwasababu hakusoma pale jangwani kutokana na muda.

Fuatilia.

AMEMALIZA SASA WANARUDIA YA JANGWANI, WAMEANZA NA KIPANDE CHA SUMAYE
 
nimechoka na ccm chadema hata wangeweka tako kama mgombea ningelipa tu....go chadema
 
lowasa yupo live kwenye tv,anatoa hotuba yake ambayo alikusudia kuitoa pale jangwani,naangalia itv
 
Hii ni style mpya na ya kisasa kabisa kutokea katika nchi hii. Hivi kweli katika shamrashamra kama zile za uwanjani pale sera za mtu zinaweza kusikilizwa kwa umakini au ni mahali pa mihemko na shangwe tuu? Sasa hivi namsikiliza kwa makini ahadi zake bila ya mihemko kabisa.
Hii ni kuonyesha kuwa Lowasa hafanyi mambo kwa mazoea bali kila siku anakuja na style mpya kabisa.
Twende tusikilize kwa makini bila kelele wala makofi ya kuchanganya.
 

Nimeipenda pia.
 
tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa ukawa wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia itv chanzo twitter account ya itv

kitendawili atakuwa amekaa au amesimama?

 
Mbona leo unaangaika sana km kuku aneyetaka kutaga tulia na usikilize atakachoonge,hili sindano zikuingie vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…