Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

huna jipya wewe zaidi ya kuongopewa na makomeo kuwa atakupa kibarua,pooooleeeeeee

mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,

 

kama ukawa wote mna akili kama za huyu.kweli mkapa hakukosea kuwaita "wajinga" na "malofa".mimi ningependa niwaongezee sifa nyingine kua mnastahili kuitwa "mapunguani"
 
mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,


Hakuna cha ukweli wowote,magufuri hapati urais,maana urais ni kwa lowasa.
 
Yaani katika cku ambayo nimeumia na kujickia vibaya ni Leo ..chadema imetutia aibu wanachadema ..haiwezekan lowasa atuambie mda hautoshi na huku huku tukiona akina tambwe ,mrema na wengine wakizungumza kwa mda mwingi kuliko hata lowasa

We ni gamba wala cyo Chadema
 
Dah uku nlko hakuna umeme sijui itv watarudia lini hiyo hotuba asee
 
Magufuli hakupi cheo wewe

MAGUFULI HAJUI KAMA NIKO DUNIANI MKUU
BALI NAMKUBALI SANA NI MTU SAHIHI TUMPE KURA ,
MWINGINE AMBAYE NILIKUWA NAMKUBALI ILI WAMEFITINI NI DR SLAA ILa NAAMINI MUNgU ATANIPA MAGUFULI MBADARA WAKE AMABYE,
mimi sio mfasi wa vyama bali mtu sahihi,

 


mama yako ana majibu yote.. kamuulize..yuko chumbani kwake ndo ameinga mda huu akitokea kuoga we ingia bila hodi umuulize
 
Acha uongo wewe

Wewe umepangwa section ya kubisha na kukanusha kila kitu, kama Jitihada hazitafanywa kuhakikisha hii picha haiingii kwenye mtandao Lowasa amekwisha, endelea kukanusha kufanyia kazi.
 
Raisi alikuwa anahutubia taifa ameshamaliza sasa tunaangalia yaliyotokea uwanjani leo umeme walitufanyia hujuma.
POMBE TUTAMWAGA NA MAGUFULI TUTAVUNJA IKULU LOWASA ANATOSHA.
 

Huna jipya, kuandika kwenyewe tabu sijui lugha ya wapi hiyo! sherere ndio kitu gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…