Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,689
- 134,428
Siku zote nasisitiza humu kuwa kuwa... sio lazima mtu mpaka aokote...Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.

Kwanini usingesubiri kikao cha maamuzi hayo kiishe ili uje na details kamili? Mnajaza server ya watu kwa vi-thread vyenu vya TETESI!
Sidhani kama hayo mapendekezo yatatekelezeka kwa CCM....twasubiria taarifa zaidi....
Tetesi kutoka chanzo kimoja kilichopo Dodoma katika kikao cha CCM ni kuwa Waziri mkuu huyo wa zamani atafutiwa uanachama na hivyo hatagombea Urais hapo 2015.
Inasemekana awali wajumbe waliomhoji walipendekeza apewe adhabu ya kutokugombea kwa muda wa miezi 18, jambo ambalo lingemfanya kushindwa kugombea katika uchaguzi ujao. Naendelea kufuatilia details nitazileta mapema nikithibitisha maana kikao kilikiwa bado kinaendelea.
Aaron ninaemjua mimi hapa Tasaf?EL akifukuzwa natembea uchi ubungo to Posta..napita k/koo..narudi mwenge...
Ni jambo lisilo wezekana kwa CCM..